![]() |
Mwigulu akisindikizwa na umati mkubwa wa wananchi kijiji cha Nkonkilangi mara baada kuongea naoea nao. |

Mwigulu akiteta jambo na baadhi ya viongozi waliofika kwenye Mkutano kabla ya
kuongea na wapiga kura wake kwenye Kijiji cha Nkokilangi
![]() | |
Mwigulu akihutubia maelfu ya wananchi wa jimboni mwake waliojitokeza kwenye Mkutano wa hadhara |
No comments:
Post a Comment