Wednesday, July 24, 2013

WAZIRI MKUU WA ZAMANI WA UINGEREZA TONY BLAIR AWASILI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM Julai 23, 2013

RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA ZAMANI WA UINGEREZA TONY BLAIR IKULU JIJINI DAR ES SALAAM Julai 23, 2013.



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Mhe. Tony Blair Ikulu jijini Dar es salaam - Julai 23, 2013.
PICHA NA IKULU.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwonesha mandhari mbalimbali Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Mhe. Tony Blair Ikulu jijini Dar es salaam - Julai 23, 2013.
PICHA NA IKULU.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Mhe. Tony Blair Ikulu jijini Dar es salaam - Julai 23, 2013.
PICHA NA IKULU.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Mhe Tony Blair na mkewe Cherrie Blair alipokutana nao Ikulu jijini Dar es salaam - Julai 23, 2013.
PICHA NA IKULU.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Mhe Tony Blair na mkewe Cherrie Blair alipokutana nao Ikulu jijini Dar es salaam - Julai 23, 2013.
PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

 
Support : Katibu Mwenezi CCM (w) Arusha | Jasper Kishumbua | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali Blog - Arusha - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper Kishumbua
Proudly powered by Blogger