MJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM (TAIFA) NDG GODFREY MWALUSAMBA AKITOA HESHIMA ZA MWISHO KUHUSIANA NA KIFO CHA MZEE JOHN CHACHA NEGA KILICHOTOKEA Juni 14,2013 na BIBI NGEWA M. NEGA (aliyefariki Juni 15,2013 mara baada ya kupata taarifa za kifo mwanae Mzee John C. Nega ya kuwa amefariki) wote wamezikwa Mabogini, Moshi Juni 18,2013. PICHA na Katibu Mwenezi na Siasa CCM Wilaya - Arusha
PICHA YA MZEE JOHN CHACHA NEGA ALIYAFARIKI Juni 14,2013 NA KUZIKWA Mabogini, Moshi Juni 18,2013.
PICHA na Katibu Mwenezi na Siasa CCM Wilaya - Arusha
PICHA na Katibu Mwenezi na Siasa CCM Wilaya - Arusha
KAMANDA MBOYA AKISOMA HISTORIA FUPI YA MAREHEMU MZEE JOHN CHACHA NEGA NA BIBI NGEWA M. NEGA WOTE WAMEZIKWA KIJIJINI KWA MABOGINI,MOSHI Juni 18,2013
PICHA na Katibu Mwenezi na Siasa CCM Wilaya - Arusha
PICHA na Katibu Mwenezi na Siasa CCM Wilaya - Arusha
WAOMBOLEZAJI NDUGU ,JAMAA NA MAJIRANI WAKISHINDWA KUJIZUIA KULIA NA WENGINE KUZIMIA KATIKA MSIBA MZITO WA FAMILIA HIYO KATIKA KIJIJI CHA MABOGINI , MOSHI Juni 18,2013
PICHA na Katibu Mwenezi na Siasa CCM Wilaya - Arusha
PICHA na Katibu Mwenezi na Siasa CCM Wilaya - Arusha
MWILI WA BIBI NGEWA M. NEGA ALIYEZALIWA Machi 3,1910 SIRARI , TARIME MKJOANI MARA NA KUFARIKI Juni 15,2013 MARA BAADA YA KUPATA TAARIFA ZA KIFO CHA MWANAE MZEE JOHN CHACHA NEGA ALIYAFIKI Juni 14,2013 NA KUZIKWA KATIKA KIJIJI CHA MABOGINI , MOSHI Juni 18,2013
PICHA na Katibu Mwenezi na Siasa CCM Wilaya - Arusha
PICHA na Katibu Mwenezi na Siasa CCM Wilaya - Arusha
MWILI WA JOHN CHACHA NEGA ALIYEZALIWA 1947 NA KUFARIKI Juni 14,2013 KUTOKANA NA KUSUMBULIWA NA MARADHI SHINIKIZO LA DAMU NA SUKARI NA KUZIKWA KATIKA KIJIJI CHA MABOGINI , MOSHI Juni 18,2013
PICHA na Katibu Mwenezi na Siasa CCM Wilaya - Arusha
PICHA na Katibu Mwenezi na Siasa CCM Wilaya - Arusha
KUSHOTO NI KATIBU WA CCM WILAYA YA ARUSHA NDG KINGAZI, MJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM (TAIFA) NDG GODFREY MWALUSAMBA ,KATIBU WA FEDHA NA UCHUMI CCM WILAYA YA ARUSHA NDG VICTOR MOLLEL NA KATIBU WA SIASA NA UENEZI CCM WILAYA YA ARUSHA NDG JASPER KISHUMBUA (hayupo pichani) NAO WALIKUWA NI MIONGONI MWA WAOMBOLEZAJI KUFUATIA KIFO CHA MZEE JOHN CHACHA NEGA
KILICHOTOKEA Juni 14,2013 na BIBI NGEWA M. NEGA (aliyefariki Juni 15,2013 mara baada ya kupata taarifa za kifo mwanae Mzee John C. Nega ya kuwa amefariki) wote wamezikwa Mabogini, Moshi Juni 18,2013.
PICHA na Katibu Mwenezi na Siasa CCM Wilaya - Arusha
PICHA na Katibu Mwenezi na Siasa CCM Wilaya - Arusha
KAIMU KATIBU WA UVCCM WILAYA YA ARUSHA NDG MASUDI NAYE ALISHIRIKI KATIKA MSIBA MZITO HUO ULIOFANYIKA Mabogini, Moshi Juni 18,2013.
PICHA na Katibu Mwenezi na Siasa CCM Wilaya - Arusha
PICHA na Katibu Mwenezi na Siasa CCM Wilaya - Arusha
NDUGU, WATOTO,WAJUKUU NA MKW WA MAREHEMU KWENYE PICHA YA PAMOJA Mabogini, Moshi Juni 18,2013.
PICHA na Katibu Mwenezi na Siasa CCM Wilaya - Arusha
PICHA na Katibu Mwenezi na Siasa CCM Wilaya - Arusha
NDUGU, WATOTO,WAJUKUU NA MKW WA MAREHEMU KWENYE PICHA YA PAMOJA Mabogini, Moshi Juni 18,2013. PICHA na Katibu Mwenezi na Siasa CCM Wilaya - Arusha
WAGENI KUTOKA NAIROBI ,KENYA NAO WALIKUWA NI MIONGONI MWA WAOMBOLEZAJI KATIKA NAZISHI YALIYOFANYIKA Mabogini, Moshi Juni 18,2013. PICHA na Katibu Mwenezi na Siasa CCM Wilaya - Arusha
HAYA NDIYO MAKABURI WATAKAPOZIKWA MAREHEMU MZEE JOHN CHACHA NEGA NA BIBI NGEWA M. NEGA MABOGINI,MOSHI Juni 18,2013PICHA na Katibu Mwenezi na Siasa CCM Wilaya - Arusha
MSAFARA UKIELEKEA MAKABURINI KUWALAZA WAZEE WETU
PICHA na Katibu Mwenezi na Siasa CCM Wilaya - Arusha
PICHA na Katibu Mwenezi na Siasa CCM Wilaya - Arusha
SAFARI YA MWISHO KWA MZEE JOHN CHACHA NEGA ALIYEFARIKI Juni 14,2013 na BIBI NGEWA M. NEGA (aliyefariki Juni 15,2013 mara baada ya kupata taarifa za kifo mwanae Mzee John C. Nega ya kuwa amefariki) wote wamezikwa Mabogini, Moshi Juni 18,2013.PICHA na Katibu Mwenezi na Siasa CCM Wilaya - Arusha
HAPA NDIPO WALIPOLAZWA MZEE JOHN CHACHA NEGA ALIYEFARIKI Juni 14,2013 na BIBI NGEWA M. NEGA (aliyefariki Juni 15,2013 mara baada ya kupata taarifa za kifo mwanae Mzee John C. Nega ya kuwa amefariki) wote wamezikwa Mabogini, Moshi Juni 18,2013.PICHA na Katibu Mwenezi na Siasa CCM Wilaya - Arusha
KATIBU WA CCM WILAYA YA ARUSHA AKITOA RAMBIRAMBI KWA NIABA YA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA ARUSHA NDG A.KINGAZIPICHA na Katibu Mwenezi na Siasa CCM Wilaya - Arusha
Marehemu MZEE JOHN CHACHA NEGAameaacha Mke, Watoto 8 na Wajukuu 6.Mungu ailaze roho yake pema peponi.
No comments:
Post a Comment