![]() |
| Kisha Balozi huyo akamkabidhi Dk. Asha-Rose Migiro ujumbe aliofika nao |
![]() |
| Na kisha akamkabishi zawadi maalum kwa ajili ya kumbukumbu |
![]() |
| Katibu wa NEC, akimshukuru Balozi huyo |
![]() |
| Balozi huyo Thien akimuaga Dk. Asha-Rose Migiro akiwa tayari kuondoka kurejea ofini kwake baada ya mazungumzo yao. Katikati ni Katibu Mkuu wa CCM, Martine Shigela |







No comments:
Post a Comment