skip to main |
skip to sidebar
26 July 2013
RAIS KIKWETE AKIWA WILAYANI MULEBA26 July 2013
HALMASHAURI ZA MIJI,MANISPAA NA MAJIJI ZATAKIWA KUTOA KIPAUMBELE MIRADI YA MAJI25 July 2013
Timu ya Taifa (Taifa Stars) ilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Entebe nchini Uganda Julai 25,201325 July 2013
Mkoani Kagera Waadhimisha Kumbukumbu ya Mashujaa katika Kambi ya Jeshi ya Kaboya, Bukoba, Julai 25, 2013.17 August 2014
Serena Williams edges Wozniacki to reach final11 October 2013
Mwanademokrasia wa kweli hahitaji vurugu10 October 2013
UTEKELEZAJI WA AGIZO LA WAZIRI MAGUFULI26 July 2013
Egypt suffers night of deadly violence26 July 2013
Maabara ya kisasa Bagamoyo : Kifaa tiba muhimu kwa Tanzania, Afrika.26 July 2013
Mhe Anne Makinda achaguliwa kuwa Rais a CPA Afrika26 July 2013
RAIS KIKWETE AWAONYA WANAOTAKA KUICHEZEA TANZANIA.26 July 2013
Barcelona wasema Cesc Fabregas HAUZWI !26 July 2013
RAIS KIKWETE AKIWA WILAYANI MULEBA26 July 2013
HALMASHAURI ZA MIJI,MANISPAA NA MAJIJI ZATAKIWA KUTOA KIPAUMBELE MIRADI YA MAJI25 July 2013
Timu ya Taifa (Taifa Stars) ilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Entebe nchini Uganda Julai 25,201325 July 2013
Mkoani Kagera Waadhimisha Kumbukumbu ya Mashujaa katika Kambi ya Jeshi ya Kaboya, Bukoba, Julai 25, 2013.17 August 2014
Serena Williams edges Wozniacki to reach final11 October 2013
Mwanademokrasia wa kweli hahitaji vurugu10 October 2013
UTEKELEZAJI WA AGIZO LA WAZIRI MAGUFULI26 July 2013
Egypt suffers night of deadly violence
Mhe Anne Makinda achaguliwa kuwa Rais a CPA Afrika
Spika wa Bunge wa Bunge la Tanzania,Mhe Anne Makinda achaguliwa kuwa Rais a CPA Afrika.
Mkutano wa CPA Barani Afrika wampongeza Spika Makinda kwa siku yake ya kuzaliwa.

Spika wa Bunge wa Bunge la Tanzania,Mhe Anne Makinda akihutubia kushukuru wajumbe Mkutano wa CPA Barani Afrika kwa kumchagua kuwa Rais wa CPA Afrika.Picha na Saidi Yakubu.

Mhe Spika Anne Makinda akipongezwa na Mwenyekiti wa CPA na Spika wa Bunge la Gauteng Mhe.Lindiwe Maseko,kwa kuchaguliwa na Mkutano huo wa 44 wa CPA kuwa Rais wa Afrika na Mwenyeji wa Mkutano wa 45 wa CPA utakaofanyika Arusha Tanzanis Julai mwakani.Picha na Saidi Yakubu.

Picha ya pamoja ta Uongozi wa CPA Kanda ya Afrika, kutoka kushoto ni Mhe.Request Muntanga(Mweka Hazina),Mhe Asser Kapere ambae ni Rais aliemaliza muda wake na Spika wa Namibia,Mhe Lindiwe Maseko ambae ni Mwenyekiti na Spika wa Gauteng,Kutoka kulia ni Mr Demetrius Mgalami Naibu Katibu wa Kanda ya Afrika, Mhe Lucia Witbooi wa Namibia na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Afrika, Mhe Spika Sephiri Motanyane wa Lesotho na Mhe Spika Makinda wa Tanzania na Rais wa Afrika wa CPA.Picha na Saidi Yakubu.
No comments:
Post a Comment