JK akiwaasa Watanzania wasidanganyike na watu wanaotaka kuwatenganisha. Aidha JK akilisifia Tamasha la Matumaini kuwa ni moja ya majibu ya wanaotaka kutenganisha Watanzania kwa misingi ya kikabila ama kidini
"Tamasha hili ni majibu kwa wanaotutakia mabaya Tanzania...."Rais kikwete akifungua tamasha la matumaini hivi sasa uwanja wa Taifa,jijini Dar.

JK akisalimiana na wabunge wa Yanga. Huyu ni Esther Bulaya
Rais Kikwete akielekea kukagua timu.

Muziki wa Injili ulitawala. Hapa Solomon Mukubwa akitumbuiza

MC wa Tamasha la Matumaini Godwin Gondwe a.k.a Double G akiwa kazini

Bango lajieleza

Uzalendo kwanza

Nnape Nnauye akiwa na wadau

JK akitete jambo na Eric Shigongo, mwandaaji wa Tamasha la Matumaini

Wabunge wapenzi wa Simba wakipiga jalamba

Profesa Maji Marefu akiongoza wabunge wapenzi wa Simba

Wabunge wapenzi wa Simba

Mwigulu Mchemba na skafu yake akiwa na wabunge wapenzi wa Yanga

Halima Mdee (kati mbele, bukta nyeusi) akiongoza kikosi cha wabunge wapenzi wa Yanga

Kikosi kazi cha wabunge wapenzi wa Yanga

Da' Asha Baraka akiwa na Mwenyekiti wa Baraza la Michezo (BMT) Dionis Malinzi

Mwandaaji wa Tamasha la Matumaini akisema machache

Millard Ayo wa Clouds FM akirusha vitu live

Wapiganaji wakila mzigo

Wapiganaji kazini

Wapiganaji wakishuhudia

Wapiganaji wakirekodi matukio

Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi Tamasha la Matumaini

JK akiwaasa Watanzania wasidanganyike na watu wanaotaka kuwatenganisha

Hatudanganyiki....

JK akilisifia Tamasha la Matumaini kuwa ni moja ya majibu ya wanaotaka kutenganisha Watanzania kwa misingi ya kikabila ama kidini

JK akijiandaa kupiga filimbi kuanzisha mechi ya wabunge wpenzi wa Yanga na Simba

JK akiwa refarii akihesabu wachezaji kabla ya kuanzisha mechi

JK akiaga baada ya kuanzisha mpambano huo

JK akikaribishwa na mwandaaji Eric Shigongo. Kati ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara

JK akiingia uwanja wa Taifa akiongozana na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara na Eric Shigongo

JK akiwa meza kuu

JK akiwa meza kuu

Mwandaaji wa tamasha Eric Shigongo akiongea machache

JK akimpongeza Eric Shigongo kwa hotuba nzuri

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara akimkaribisha JK kutoa hotuba yake

Tamasha la Matumani Oye!

JK akiongea na kadamnasi kwenye tamasha hilo katika hotuba iliyorushwa moja kwa moja na TBC

"Tamasha hili ni majibu kwa wanaotutakia mabaya Tanzania...."

JK akiongea na kadamnasi

JK akisalimiana na wachezaji wa Bongo Movie

JK akipeana mikono na kipa wa zamani Yanga na Taifa Stars Peter Manyika ambaye sasa ni msanii wa Bongo Fleva na Bongo Movie

Jk akisalimiana na Bongo Movie Stars

JK akisalimiana na Katibu Mkuu wa FAT mstaafu Mwina Kaduguda

JK akisalimiana na kipa (wa kweli) wa Yanga Barthez

JK akiingia uwanjani

Kikosi cha wabunge wapenzi wa Simba

Waamuzi na wabunge wapenzi wa Yanga

JK akilakiwa na refa Othman Kazi

JK akiweka saini katika mpira utaochezewa

JK akiweka saini

JK akikagua wabunge wapenzi wa Yanga

JK akisalimiana na straika mkali wa Yanga kutoka DRC

Hiki kifriji vipi.....

JK akisalimiana na mwenyekiti wa kamati ya ufundi wa Yanga

JK akisalimiana na kiongozi-mchezaji wa Yanga

JK akisalimiana na mshambuliaji hatari wa yanga Halima Mdee

JK akisalimiana na nahodha wa Simba Amos Makala

JK akisalimiana na Simba

JK akisalimiana na mchezaji wa kulipwa wa wabunge toka Nzega, Dkt Hamisi Kigwangalla

JK akisalimiana na Profesa Maji Marefu

JK akisalimiana na wachezaji wabunge wa Simba

JK akisalimiana na mshambukliaji hatari wa Simba William Ngeleja

JK akiendelea kusalimia wabunge wana Simba

JK akisalimiana na beki tatu wa wabunge wa Simba Joshua Nassari

Haya waheshimiwa... mchezo mwema...

Nyimbo ya Taifa ikipigwa, kila mtu mguu sawa

Wimbo wa Taifa

JK akipungia umati unaomshangilia kwa nguvu

JK akipena mkono na mashabiki

JK akiteta jambo na JB huku Dkt Cheni akiwa pembeni

Mashabiki wakiwa nje ya uwanja

Nyomi ya nje inapita ya ndani
No comments:
Post a Comment