Saturday, February 2, 2013

JUMUIYA YA WAZAZI CCM ARUSHA YASHREHEKEA MIAKA 36 KWA KUPANDA MITI NA KUFANYA USAFI

Jumuiya ya WAZAZI ya CCM Wilaya ya Arusha, yaadhimisha sherehe zake kwa kupanda miti na kufanya usafi katika Kata ya Sekei eneo la Shule ya Msingi ya Sanawari Sekei leo February,02, 2013.
Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo Katibu Mwenezi wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua akikabidhiwa mti  na mwenyeji wake Katibu wa WAZAZI Kata ya Sekei Ndg Kichau wa Kata ya Sekei jijini Arusha.
Katibu Mwenezi wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua akiotesha mti kama ishara ya kuzindua sherehe hizo za upandaji miti katika eneo la Shule ya Msingi ya Sanawari, Kata ya Sekei jijini Arusha leo
Katibu Mwenezi wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua (katikati aliyevaa kofia), Mwenyekiti wa CCM Kata  Sekei (kulia)wakishirikiana kuchota takataka katika eneo la Shule ya Msingi ya Sanawari Sekei.
Baadhi ya wakina mama walioungana na Jumuiya hiyo ya WAZAZI Wilaya ya Arusha katika kuandimisha sherehe hizo,

Katibu wa Fedha na Uchumi wa CCM Wilaya ya Arusha, Ndg Victor Mollel akikabidhiwa mti  katika sherehe hizo za Jumuiya ya WAZAZI CCM Wilaya ya Arusha.




Katibu wa Fedha na Uchumi wa CCM Wilaya ya Arusha, Ndg Victor Mollel, akipanda mti katika maadhimisho ya sherehe hizo.

















No comments:

Post a Comment

 
Support : Katibu Mwenezi CCM (w) Arusha | Jasper Kishumbua | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali Blog - Arusha - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper Kishumbua
Proudly powered by Blogger