Monday, February 4, 2013

RAIS KIKWETE AKAGUA UJENZI DARAJA LA KIKWETE,KIGOMA

Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wananchi wa Uvinza mkoani Kigoma wakati akiwa njiani kwenda kukagua 
ujenzi wa daraja la Kikwete kwenye
Mto Malagarasi mkoani humo leo mchana





















Wananchi na wafanyakazi wa kampuni ya Hanil Engeneering ya Korea wakimsubiri Rais Kikwete kwenye Ofisi ya
 mradi wa ujenzi wa barabara hiyo.
Rais Jakaya Kikwete akimsalimia Waziri wa Kilimo na Chakula Injinia Christopher Chiza baada ya kuwasili kwenye Ofisi za mradi wa ujenzi wa Daraja la Kikwete kwenye mto Malagarasi mkoani Kigoma. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Danih Makanga
Rais Kikwete akiwasalimia wafanyakazi wa kampuni ya Hanil ya Korea. Kushoto ni 
Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Khadija Nyembo na wapili ni
DC wa Kasulu Danih Makanga.
Meneja Mradi wa Ujenzi dsaraja la Kikwete katika mto Malagarasi mkoani Kigoma, Crispinas Ako (aliyevyoosha mkono) akimpatia maelezo Rais Jakaya Kikwete kuhusu maendeleo ya ujenzi wa mradi huo alipotembelea leo
Daraja linalotumiwa na treni kwenye mto Maragarasi ambako pembeni yake ndiko linalojengwa litakalotumiwa na magari kutoka Tabora kwenda Kigoma
Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akikagua ujenzi wa darala la Kikwete kwenye mto Maragarasi mkoani Kigoma leo.
Msafara wa Rais Kikwete ukipita kwenye darala la Kikwete ambalo ujenzi wake unaedelea kwenye 
Mto Malagarasi mkoani Kigoma
Rais Kikwete akizungumza na wananchi wa Maragalasi baada ya kukagua ujenzi wa daraja la Kikwete katika mto Maragalasi leo.

No comments:

Post a Comment

 
Support : Katibu Mwenezi CCM (w) Arusha | Jasper Kishumbua | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali Blog - Arusha - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper Kishumbua
Proudly powered by Blogger