Ujenzi wa barabara ya km 317.8 kwa kiwango cha lami kutoka Songea hadi Tunduru umeshatinga
Namtumbo mjini. Sasa maisha tambalale kwa wakwe, undendeule. Kazi imefikia
zaidi ya asilimia 80, na vijana wanaendelea kupiga box.
Namtumbo sasa ni
mkeka mtupu
Vijana kibao wa huku wamenufaika kwa ajira ya ujenzi wa
barabara hii muhimu ambayo ujenzi wake ulisimama kwa muda baada ya kampuni ya
kandarasi ya Ujenzi ya Progressive ya India kushindwa na kutimuliwa na
kupatikana mkandarasi mwingine. Picha na mdau Gerson Msigwa
No comments:
Post a Comment