Kitabu cha maombolezo ya msiba wa marehemu Mwenyekiti
Mstaafu wa CCM Wilaya ya Arusha
Mzee Jubilathe Shiletiko Kileo nyumbani kwake Kaloleni
|
Mmoja kati ya watoto wa marehemu (aliyevaa jaket) akiteta jambo na mmoja wa wanakamati wa maandalizi ya msiba huo. |
Baadhi ya watu wa rika mbali mbali waliohudhuria shughuli za
msiba huo ,kusoto ni Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM Wilaya ya Arusha Ndg Musa
Mkanga.
|
Maadalizi ya kuelekea Machame |
Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Arusha Ndg Martin Munisi.akiwa ameongozana Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM Wilaya ya Arusha Ndg Musa Mkanga. |
Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM Wilaya ya Arusha Ndg Musa Mkanga,akitia saini katika kitabu cha
maombolezo ya msiba wa marehemu Mzee Jubilathe Shiletiko Kileo
|
Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Arusha Ndg Martin Munisi,akitia saini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa marehemu Mzee Jubilathe Shiletiko Kileo |
Mkuu wa Mkoa mstaafu Mzee Babu aiwasili nyumbani kwa marehemu Kaloleni Arusha kuhani msiba huo, akisalimiana na Katibu wa Uchumi na Fedha wa CCM Kata ya Kaloleni, Ndg Nyanda.
No comments:
Post a Comment