Wednesday, June 26, 2013

RAIS Dk. JAKAYA M. KIKWETE - DODOMA

 Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma juni 25, 2013 kwa ajili ya kuongoza kikao cha kamati Kuu ya CCM na
 Baraza la Mawaziri.
 
Rais Jakaya Kikwete akiwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma juni 25, 2013 kwa ajili ya kikao cha Kamati Kuu ya CCM na Baraza la Mawaziri . Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. 
(Picha na Ofisi yawazi Mkuu).
NA KWA HISANI KUBWA YA MICHUZI

No comments:

Post a Comment

 
Support : Katibu Mwenezi CCM (w) Arusha | Jasper Kishumbua | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali Blog - Arusha - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper Kishumbua
Proudly powered by Blogger