Sunday, June 30, 2013

WABUNGE WA CCM WAKUTANA MJINI DODOMA Jumamosi, Juni 29,2013

WABUNGE WA CCM WAKUTANA MJINI DODOMA

Jumamosi, Juni 29,2013


 Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Msekwa mjini Dodoma kuhudhuria kikao cha wabunge wa CCM Juni 29, 2013. Kulia ni Katibu Mwenezi wa CCM, Nape Nnauye.
 image
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa katika mazungumzo na Katibu wa Bunge,Jenista Mhagama.

 image
 Mkurugenzi wa Idara ya Mambo ya Nje ya CCM, Dr Asha Rose Migiro akisalimaina na Mbumge wa Kondoa Kusini wakati alipowasili kwenye ukumbiu wa Msekwa mjini Dodoma Juni 29, kuhushuria kikao cha wabunge wa CCM. Katikati ni Mbunge wa Mpwapwa ns Nsibu Waziri ws Viwanda na Biashara, Gregory Teu.


Mkurugenzi wa Idara ya mambo ya Nje ya CCM, Dr.Asha Rose Migiro akikaribishwa na Katibu wa Wabunge wa CCM, Jenista Mhagama baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Msekwa mjini Dodoma kuhudhuria kikao cha wabunge wa CCm Juni 29, 2013. Katikati ni Mbunge wa Namtumbo, Vita Kawawa.

image


Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa wabunge wa CCM wakiimba wimbo wa CCM kabla ya kuanza kwa kikao chao kwenye ukumbi wa msekwa mjini Dodoma Juni 29, 2013.

Washiriki wa Mkutano wa Wabunge wa CCM wakiimba wimbo wa CCM kabla ya kuanza kwa kikao chao kwenye ukumbi wa Msekwa mjini Dodoma Juni 29, 2013. Kutoka kulia ni Spika wa Bunge Anne makinda, Waziri Mkuu Mizengo Pinda (mwenyekiti) Katibu Mkuu wa CCm, Abdulrahman Kinana na Jenista Mhagama ambaye ni Katibu.

No comments:

Post a Comment

 
Support : Katibu Mwenezi CCM (w) Arusha | Jasper Kishumbua | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali Blog - Arusha - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper Kishumbua
Proudly powered by Blogger