Tuesday, July 2, 2013

RAIS BARACK OBAMA ATEMBELEA MRADI WA UMEME WA SYMBION UBUNGO LEO

Rais Wa Marekani Barack Obama na Rais Kikwete Watembelea Mradi wa Umeme wa Symbion Ubungo Jijini Dar es Salaam

Pia alimtambulisha Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Wilaya ya Ilala Mh.Jerry Silaa kabla ya kuondoka image image image image
Rais Barrack Obama wa Marekani na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakizungumza na watendaji wakuu wa sekta ya umeme nchini.Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mr.Maswi,mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Sadik Meck Sadik na watatu kushoto ni Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo wakati kiongozi huyo wa Marekani alipotembelea mradi wa kuzalisha umeme unaofanywa na kampuni ya Symbion power ya Marekani huko Ubungo jijini Dar es Salaam leo — in Dar es Salaam, Tanzania
image image image image Baadhi ya Wananchi waliacha shughuli zao na kuja kumlaki mgeni wao rais Obama na mwenyeji wake Rais Jakaya ,Ubungo .
image Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Wilaya ya Ilala Mh.Jerry Silaa kwa Rais Barrack Obama wa Marekani muda mfupi kabla ya kiongozi huyo kuondoka nchini baada ya kumaliza ziara ya kikazi ya siku mbili leo

No comments:

Post a Comment

 
Support : Katibu Mwenezi CCM (w) Arusha | Jasper Kishumbua | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali Blog - Arusha - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper Kishumbua
Proudly powered by Blogger