SUMAYE AONGOZA WAPANDA MLIMA KILIMANJARO KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA WAATHIRIKA WA UKIMWI
Jumla ya watu 38 wanashiriki zoezi la kupanda mlima Kilimanjaro lijulikanalo kama Kili Challenge 2013Waziri Mkuu mstaafu Fredrick Sumaye akiwasili katia maeneo ya geti la kupandia mlima Kilimanjaro akiongozana na Mkuu wa Wilaya ya Hai Mh. Novatus Makunga
Photo by Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Moshi
Waziri mkuu mstaafu Fredrick Sumaye akizungumza na wapanda mlima kutoka Geita Gold Mining.(hawako pichani) wakati wa uzinduzi wa changamoto ya kupanda mlima Kilimanjaro kwa ajili ya kuchangia fedha kwa waathirika wa VVU na UKIMWI.
Photo by Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Moshi
Wapanda mlima ambao wengi wao ni wafanyakazi wa Geita Gold Mining wakimsikiliza mgeni rasmi katika changamoto hiyo.
Photo by Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Moshi
Wapandaji wakipata picha ya pamoja na mgeni rasmi.
Photo by Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Moshi
Waziri mkuu mstaafu Fredrick Sumaye akizindua changamoto hiyo mahususi kwa ajili ya kuchangia fedha kwa waathirika wa VVU na UKIMWI.
Photo by Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Moshi
Bango la wafadhili
Photo by Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Moshi
Lango la Machame ambalo hutumika pia kwa kampuni ya Geita Gold Mining kuanzia safari ya kupanda mlima kwa lengo la kuchangisha fedha
Photo by Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Moshi
Jumla ya watu 38 wanashiriki zoezi la kupanda mlima Kilimanjaro lijulikanalo kama Kili Challenge 2013 kwa lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya kuwasaidia waathirika wa UKIMWI.
Kundi hilo ambalo linaongozwa kwa kiasi kikubwa na wafanyakazi wa kampuni ya kuchimba madini ya Geita wanaendelea na safari yao wakiwemo watoto 2 walioathirika na maambukizi ya VVU/UKIMWI wanaolelewa na Kituo cha Watoto Yatima cha Moyo wa Huruma wenye umri wa miaka 14 na 17.
Katika kundi hilo wamo pia raia sita kutoka Afrika kusini, raia mmoja kutoka Ghana, raia mmoja kutoka Australia na watanzania 27.
by Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Moshi
No comments:
Post a Comment