Wednesday, July 10, 2013

WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO UFUNDI - WAVULANA NA WASICHANA

Muhula wa kwanza kwa wanafunzi wa

Kidato cha Tano kuanzia mwaka huu

2013 itaanza mwezi Julai.

Wanafunzi wamepangwa katika shule zenye miundombinu na walimu kwa masomo husika.

Muhula wa kwanza kwa wanafunzi wa Kidato cha Tano kuanzia mwaka huu 2013 itaanza mwezi Julai.

Wanafunzi wamepangwa katika shule zenye miundombinu na walimu kwa masomo husika.

Aidha, kama baadae upungufu utajitokeza, wakuu wa shule wameelekezwa kufanya taratibu za kuazima walimu wa muda na kutoa taarifa kwa uongozi wa halmashauri husika kuhusu upungufu wa walimu uliopo.

Kwa nafasi hii, ninaagiza wanafunzi wote kuripoti katika shule walizopangwa tarehe 29 Julai, 2013. Kama kutakuwa na sababu yoyote ya msingi ya kuhamia shule nyingine, uhamisho wa kawaida utafanywa baada ya kuripoti shuleni kupitia kwa mkuu wa shule husika, Mkurugenzi wa Halmashuri/Manispaa na Katibu Tawala wa Mkoa.

(Wizara haitabadilisha shule walizopangwa wanafunzi)

Wanaporipoti wanatakiwa kuwa na:

Original Result slip na Living Cerificate

PHILIPO A. MULUGO (MB)

NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI

10 Julai, 2013

KUANGALIA MAJINA YA WAVULANA BONYEZA HAPA

WAVULANA - ALPHABELICAL LIST 2013

KUANGALIA MAJINA YA WASICHANA BONYEZA HAPA
WASICHANA - ALPHABELICAL LIST 2013

No comments:

Post a Comment

 
Support : Katibu Mwenezi CCM (w) Arusha | Jasper Kishumbua | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali Blog - Arusha - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper Kishumbua
Proudly powered by Blogger