Monday, July 22, 2013
HESHIMA ZA MWISHO ZATOLEWA KWA MIILI YA ASKARI 7 WALIOFARIKI HUKO DARFUR,SUDANI
clip_image002Rais Jakaya Kikwete, mkewe Mama Salma, wakitoa heshima za mwisho mbele ya majeneza yenye miili ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha Jimboni Darfur nchini Sudan Julai 13, 2013 kutokana na shambulizi la ghafla, wakati wa zoezi la kutoka heshima zao za mwisho kuaga miili ya askari hao leo katika Uwanja wa Wizara ya Ulinzi Upanga jijini Dar es Salaam.
PICHA NA OMR.
PICHA NA OMR.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya majeneza yenye miili ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha Jimboni Darfur nchini Sudan Julai 13, 2013 kutokana na shambulizi la ghafla, wakati wa zoezi la kutoka heshima zao za mwisho kuaga miili ya askari hao leo katika Uwanja wa Wizara ya Ulinzi Upanga jijini Dar es Salaam.
PICHA NA OMR.
PICHA NA OMR.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akitia saini katika Kitabu cha Maombolezo ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha Jimboni Darfur nchini Sudan kutokana na shambulizi la ghafla, wakati Rais na viobgozi wengine walipofika kutoka heshima zao za mwisho kuaga miili ya askari hao leo katika Uwanja wa Wizara ya Ulinzi Upanga jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitia saini katika Kitabu cha Maombolezo ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha Jimboni Darfur nchini Sudan kutokana na shambulizi la ghafla, wakati Makamu na viobgozi wengine walipofika kutoka heshima zao za mwisho kuaga miili ya askari hao leo katika Uwanja wa Wizara ya Ulinzi Upanga jijini Dar es Salaam.
PICHA NA OMR.
PICHA NA OMR.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, akitia saini katika Kitabu cha Maombolezo ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha Jimboni Darfur nchini Sudan kutokana na shambulizi la ghafla, wakati walipofika kutoka heshima zao za mwisho kuaga miili ya askari hao leo katika Uwanja wa Wizara ya Ulinzi Upanga jijini Dar es Salaam.
PICHA NA OMR.
PICHA NA OMR.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwafariji wafiwa baada ya kutoa heshima za mwisho kwa miili ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha Jimboni Darfur nchini Sudan Julai 13, 2013 kutokana na shambulizi la ghafla, wakati wa zoezi la kutoka heshima zao za mwisho kuaga miili ya askari hao leo katika Uwanja wa Wizara ya Ulinzi Upanga jijini Dar es Salaam.
PICHA NA OMR.
PICHA NA OMR.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd, akiwafariji wafiwa baada ya kutoa heshima za mwisho kwa miili ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha Jimboni Darfur nchini Sudan Julai 13, 2013 kutokana na shambulizi la ghafla, wakati wa zoezi la kutoka heshima zao za mwisho kuaga miili ya askari hao leo katika Uwanja wa Wizara ya Ulinzi Upanga jijini Dar es Salaam.
PICHA NA OMR.
PICHA NA OMR.
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Regnard Mengi, akiwa na baadhi ya viongozi, wakitoa heshima za mwisho mbele ya Majeneza yenye miili ya Askari wa kulinda Amani, wa jeshi la Ulinzi la Tanzania, waliokufa huko Darfur Julai 13, 2013, wakati wa zoezi la kuagwa miili hiyo lililofanyika leo kwenye Uwanja wa Wizara ya Ulinzi, Upanga jijini Dar.
PICHA NA OMR.
PICHA NA OMR.
Rais Jakaya Kikwete, Makamu wake, Dkt. Bilal, na viongozi wengine wakiwa katika shughuli hiyo ya kuagwa miili ya askari hao leo kwenye Uwanja wa Wizara ya Ulinzi Upanga Dar es Salaam.
PICHA NA OMR.
PICHA NA OMR.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, John Nchimbi akiteta jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe, wakati wakiwa katika shughuli hiyo ya kuaga miili ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha Jimboni Darfur nchini Sudan kutokana na shambulizi la ghafla. Kulia ni Katibu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
PICHA NA OMR.
PICHA NA OMR.
Baadhi ya wafiwa wakiwa na huzuni huku wengine wakilia kwa uchungu wakati wa kuagwa miili hiyo.
PICHA NA OMR.
PICHA NA OMR.
Baadhi ya wafiwa wakiwa na huzuni huku wengine wakilia kwa uchungu wakati wa kuagwa miili hiyo.
PICHA NA OMR.
PICHA NA OMR.
Baadhi ya Askari pia wakiwa na nyuso za huzuni.
PICHA NA OMR.
PICHA NA OMR.
Labels:
HABARI ZA KITAIFA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
http://way2bloggertemplates.com/
==========================================================================
Judul/Heading
-------------------- Put your code here -------------------------
Title
-------------------- Put your code here -------------------------
Title
-------------------- Put your code here -------------------------
Title
-------------------- Put your code here -------------------------
More Article »
Judul/Heading
-------------------- Put your code here -------------------------
More Article »
Title
-------------------- Put your code here -------------------------
More Article »
SUBSCRIBE ME
SIDE TABBER
Recent Post
Popular post
-
Boeing 777 crashes at San Francisco International Airport By Greg Botelho and Mike M. Ahlers, CNN A photo shared on Twitter by one of...
-
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM,Ndg Abdulrahman Kinana akizungumza Wakazi wa wa mji wa Morogoro Stesheni usiku huu,walipokuwa w...
-
WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA MZEE JOHN CHACHA na BIBI NGEWA NEGA –Juni 19,2013 Viongozi wa CCM (w) Ar. MAZISHI YA MZEE...
-
Marine One, with US President Barack Obama and First Lady Michelle Obama on board Flies over Pretoria, as Obama arrives to meet South Afri...
-
Heavy rainfall flooded the Himalayan regions of India and Nepal, killing more than 600 people and forcing thousands to flee their homes. ...
-
Miili ya Askari saba wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliofariki Dunia wakati wakiwa katika kazi ya kulinda amani kwenye ...
-
Mwenyekiti wa CCM ,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Makamu mwenyekiti wa CCM Bara Ndugu Philip Mangula (kushoto) na Katibu Mkuu wa CCM...
-
MWENGE WA UHURU WAMALIZA ZIARA YAKE MKOANI RUKWA Julai 25,2013,WAELEKEA MOKANI TABORA Baadhi ya raia wa kigeni nao waliomba k...
-
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Abdulrahmani Kinana akizungumza na Wana CCM wa Manyoni leo. Vijana wa Chipukizi Wilaya ...
-
Katibu Mwenezi wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg. Jasper Kishumbua akiwahutubia wananchi wa Kata ya Sombetini jioni hii Kati...
Labels
- CCM (3)
- HABARI ZA KIMATAIFA (23)
- HABARI ZA KITAIFA (58)
- HABARI ZA MICHEZO (10)
- KITAIFA (1)
Trending 2
LinkWithin 1
Support :
Katibu Mwenezi CCM (w) Arusha | Jasper Kishumbua | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali Blog - Arusha - All Rights Reserved
Copyright © 2011. CCM Dijitali Blog - Arusha - All Rights Reserved
No comments:
Post a Comment