Spika wa Bunge wa Bunge la Tanzania,Mhe Anne Makinda achaguliwa kuwa Rais a CPA Afrika.
Spika wa Bunge wa Bunge la Tanzania,Mhe Anne Makinda akihutubia kushukuru wajumbe Mkutano wa CPA Barani Afrika kwa kumchagua kuwa Rais wa CPA Afrika.
Picha na Saidi Yakubu.
Picha na Saidi Yakubu.
Mhe Spika Anne Makinda akipongezwa na Mwenyekiti wa CPA na Spika wa Bunge la Gauteng Mhe.Lindiwe Maseko,kwa kuchaguliwa na Mkutano huo wa 44 wa CPA kuwa Rais wa Afrika na Mwenyeji wa Mkutano wa 45 wa CPA utakaofanyika Arusha Tanzanis Julai mwakani.
Picha na Saidi Yakubu.
Picha na Saidi Yakubu.
Picha ya pamoja ta Uongozi wa CPA Kanda ya Afrika, kutoka kushoto ni Mhe.Request Muntanga(Mweka Hazina),Mhe Asser Kapere ambae ni Rais aliemaliza muda wake na Spika wa Namibia,Mhe Lindiwe Maseko ambae ni Mwenyekiti na Spika wa Gauteng,Kutoka kulia ni Mr Demetrius Mgalami Naibu Katibu wa Kanda ya Afrika, Mhe Lucia Witbooi wa Namibia na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Afrika, Mhe Spika Sephiri Motanyane wa Lesotho na Mhe Spika Makinda wa Tanzania na Rais wa Afrika wa CPA.
Picha na Saidi Yakubu.
Picha na Saidi Yakubu.
No comments:
Post a Comment