Katibu wa NEC,Siasa na Mahusiano ya Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro akiwasalimia Wakazi wa wa mji wa Morogoro Stesheni usiku huu,walipokuwa wakielekea mkoani Kigoma kwa njia ya treni kwenye maadhimisho ya miaka 36 ya chama cha Mapinduzi CCM,Wajumbe wa Sekretarieti ya NEC wameondoka leo jijini Dar kwenda Mkoani Kigoma kuadhimisha miaka 36 ya Chama Cha Mapinduzi |
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM,Ndg Abdulrahman Kinana akiwa sambamba na Katibu wa NEC itikaji na Uenezi Nape Nnauye wakiwasalimia Wakazi wa wa mji wa Morogoro Stesheni usiku huu,walipokuwa wakielekea mkoani Kigoma kwa njia ya treni kwenye maadhimisho ya miaka 36 ya chama cha Mapinduzi CCM,Wajumbe wa Sekretarieti ya NEC wameondoka leo jijini Dar kwenda Mkoani Kigoma kuadhimisha miaka 36 ya Chama Cha Mapinduzi.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM,Ndg Abdulrahman Kinana akipungia mkono wanachana na wampenzi wa CCM waliokuwa wamewasindikiza Wajumbe wa Sekretarieti ya NEC walioondoka Jijini Dar es Salaam leo kwenda Mkoani Kigoma kwenye Maadhimisho ya Miaka 36 ya Chama Cha Mapinduzi.
Katibu Mkuu wa CCm Ndg. Kinana akipanda treni kuongoza msafara wa Sekretarieti kwenda Kigoma kutoka Dar es Salaam jioni hii.
Wanachana na wapenzi wa CCM wakiwashangilia viongozi na Wajumbe wa Sekretarieti ya NEC walioondoka jijini Dar leo.
Katibu wa NEC,Siasa na Mahusiano ya Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro na baadhi ya Wanachama wa CCM waliokuwa wamewasindikiza Wajumbe wa Sekretarieti ya NEC walioondoka Jijini Dar es Salaam leo kwenda Mkoani Kigoma kwenye Maadhimisho ya Miaka 36 ya Chama Cha Mapinduzi.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM,Ndg Abdulrahman Kinana akizungumza na wanachana na wapenzi wa CCM waliokuwa wamewasindikiza Wajumbe wa Sekretarieti ya NEC walioondoka Jijini Dar es Salaam leo kwenda Mkoani Kigoma kwenye Maadhimisho ya Miaka 36 ya Chama hicho.Kulia ni Katibu wa NEC,Siasa na Mahusiano ya Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro na kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam,
Ndg. Madabida.
Katibu wa NEC,Siasa na Mahusiano ya Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro akipungia mkono wanachana na wapenzi wa CCM waliokuwa wamewasindikiza Wajumbe wa Sekretarieti ya NEC walioondoka Jijini Dar es Salaam leo kwenda Mkoani Kigoma kwenye Maadhimisho ya Miaka 36 ya Chama Cha Mapinduzi.
Katibu wa NEC-Oganaizesheni,Dkt. Mohamed Seif Khatibu akipanda treni tayari kwa safari ya kwenda Mkoani Kigoma.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM,Ndg Abdulrahman Kinana akiwaaga na wanachana na wapenzi wa CCM waliokuwa wamewasindikiza.
No comments:
Post a Comment