Baadhi ya askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa walioshambuliwa Julai 13, 2013 wakiwa katika hospitali ya UNAMID huko Nyala, Kusini mwa Darfur.
Baadhi ya askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa walioshambuliwa Julai 13, 2013 wakiwa katika hospitali ya UNAMID huko Nyala, Kusini mwa Darfur. Katika shambulio hilo askari saba wa Tanzania walipoteza maisha. Hawa ni miongoni mwa askari 17 waliojeruhiwa katika shambulio hilo, wakiwemo askari wanawake wawili ambao ni washauri wa Polisi. Kwa mujibu wa habari kutoka hospitalini hapo, hali za majeruhi zinaendelea vyema
Picha na UNAMID
Picha na UNAMID
kazi nzuri sana imependeza kwa kiwango cha hali ya juu safi sana mh mwenezi wa jiji la arusha mjini
ReplyDelete