Balozi wa Nigeria hapa
nchini Dr Ishaya Majanbu mweyekofia nyekundu 
akiwa anapata maelezo kutoka kwa meneja wa mradi wa ujenzi
wa Dangote 
Sementi Mkoani Mtwara Eng D Musale  ya kuhusu maendeleo ya ujenzi wa 
kiwanda cha semeti cha Dangote kinacho jengwa Mkoani Mtwara
Balozi huyo 
ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa mradi huo alipotembelea
mkoani mtwara. 
picha na Chris Mfinanga.
   Balozi akiwa ana
angalia badhi ya vifaa vilinavyo tumika katika mradi wa
ujenzi wa kiwanda hicho cha sementi kunacho jengwa na
kampuni ya 
Dangote.
 Balozi wa Nigeria
hapa nchini Dr Ishaya Majanbu akiwa katika soko la 
Mtwara akiangalia mchele bidha mbalimbali zinazo patikana
katika soko 
hilo wafanya biashara wasoko hilo walipata muda wa kumsomea tarifa yao 
ya kumuomba amfikishie mkrugenzi mkuu wa Dangote ili aweze
kuwasidia 
kulifanya soko hilo
liwe la kisasa.
 Balozi akiwa katika
picha ya pamoja na wafanya biashara wa soko la mtwara.
 
 
No comments:
Post a Comment