by Pamela Mollel
Mwai kibaki wa Kenya akikaribishwa kwa maua na Mwanafunzi Tazmina Rasul(6) muda
mfupi baada ya
kuwasili nchini kwa ziara ya kiserikali (State Visit) ya
siku mbili huku
mwenyeji wake Rais Dkt.Jakaya Kikwete akiangalia. (Picha na
Freddy Maro).
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Mwai Kibaki wa
Kenya muda mfupi
baaada ya kuwasili katika uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu
Julius Nyerere kwa
ziara ya kiserikali (State Visit) ya siku mbili
No comments:
Post a Comment