Monday, February 11, 2013

MAJINA YA WAJUMBE 14 WA KAMATI KUU CCM YATAJWA MJINI DODOMA

Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi katika kikao chake cha siku mbili Februari 10 na 11, 2013 kilichofanyika mjini Dodoma, pamoja na mambo mengine kimeridhia uteuzi na kufanya uchaguzi wa Wajumbe 14 wa Kamati Kuu yake.



Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM imeridhia uteuzi wa Dokta Salim Ahmed Salim kuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu kupitia nafasi 10 za uteuzi wa Mwenyekiti wa CCM.



Wajumbe 14 waliochaguliwa kuwa wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ni:-




Wajumbe wa Kamati Kuu - Bara



Ndugu Pindi Chana

Ndugu Adam Kimbisa

 Ndugu William Lukuvi


Dokta Emmanuel Nchimbi
Ndugu Jerry Slaa
Profesa Anna Tibaijuka

 Ndugu Stephen Wassira






Wajumbe wa Kamati Kuu - Zanzibar.
 Ndugu Shamsi Vuai Nahodha

Ndugu Hussein Mwinyi
 Profesa Makame Mbarawa Mnyaa

Dokta Salim Ahmed Salim

 Ndugu Maua Daftari.

Ndugu Samia Suluhu Hassan
 Ccmlogotz.png

 Ndugu Hadija H. Aboud

No comments:

Post a Comment

 
Support : Katibu Mwenezi CCM (w) Arusha | Jasper Kishumbua | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali Blog - Arusha - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper Kishumbua
Proudly powered by Blogger