Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana (kushoto)
akibadilishana mawazo na Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha
Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na
hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la
Guangzhou, China.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wa pili kulia)
akimtambulisha Katibu wa CCM mkoa wa Mbeya Maganga Sengelema, kwa Katibu wa
kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang
Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi
11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou, China.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa katika
mazungumzo na Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti
cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla
maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la
Guangzhou, China.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkabidhi zawadi ya
kinyango cha Kimakonde, Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha
Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na
hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou,
China.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar), Vuai Ali Vuai 'akitosi'
kinywaji kwenye kijiglasi maalum cha kinywaji, na Katibu wa Kitengo cha
kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao,
Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013,
katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou, China.
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (CCM,
Dk.Asha-Rose Migiro akimshukuru Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa
Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake
walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya
Dongfang Jimbo la Guangzhou, China.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM, Martine Shigela
akibadilishana mawazo na Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha
Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na
hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la
Guangzhou, China. (Picha na Bashir Nkoromo).kwa hisani ya MICHUZI
No comments:
Post a Comment