Sunday, March 17, 2013

MABASI YA KASI


Mafundi wakiendelea na ujenzi wa kituo cha mabasi yaendayo kasi kilichopo eneo la Magomeni Mwembechai kwenye Barabara ya Morogoro, Dar es Salaam jana, ikiwa ni sehemu ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Kasi Dar es Salaam(DART). (Na Mpigapicha Wetu).

No comments:

Post a Comment

 
Support : Katibu Mwenezi CCM (w) Arusha | Jasper Kishumbua | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali Blog - Arusha - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper Kishumbua
Proudly powered by Blogger