TASWIRA MBALIMBALI ZA SHEREHE ZA MIAKA 49 ya MUUNGANO UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM
Sherehe za Muungano Jijini Beijing, China
Keki ya maandimisho ya miaka 49 ya Muungano wa Tanzania
Sherehe za Muungano Jijini Beijing, China
Balozi Philip Marmo akiteta jambo na mmoja wa wageni walialikwa kwenye sherehe hiyo.
Sherehe za Muungano Jijini Beijing, China
Wanakikundi cha Ngoma toka Tanzania Sisi Tambala wakitumbuiza kwa wimbo wao maarufu wa 'Katope' kwenye sherehe ya Muungaano.
SHEREHE ZA MIAKA 49 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR
Rais Dk. Jakaya Kikwete akiwapungia mamia ya wananchi waliofurika kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.
SHEREHE ZA MIAKA 49 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR
Rais Dk. Jakaya Kikwete akikagua gwaride la heshima
SHEREHE ZA MIAKA 49 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR
WAASISI WA MUUNGANO MZEE KARUME NA MWALIMU NYERERE

BARAZA LA MAWAZIRI LA KWANZA BAADA YA MUUNGANO 1964
MIAKA 49 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR
DESCRIPTION GOES HERE
SHEREHE ZA MIAKA 49 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR
MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE NA MZEE ABEDI AMANI KARUME
MIAKA 49 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR
MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE NA MZEE ABEDI AMANI KARUME
SHEREHE ZA MIAKA 49 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiingia uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam leo kuongoza Watanzania kusherehekea miaka 49 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
WAASISI WA UHURU-1960
Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere , Rais wa Cuba- Fidel Alejandro Castro Ruz, Rais wa Zaire- Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu wa Za Banga na Rais wa Zambia Dkt Kenneth David Kaunda
SHEREHE ZA MIAKA 49 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR
Msafara wa Rais Kikwete ukizunguka uwanja wa Uhuru
SHEREHE ZA SHEREHE ZA MIAKA 49 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR
Msafara wa Rais Kikwete ukizunguka uwanja wa Uhuru
SHEREHE ZA MIAKA 49 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR
No comments:
Post a Comment