Sunday, April 14, 2013

KATIBU MKUU WA CCM, NDG. ABDULRAHMAN KINANA AANZA ZIARA YAKE YA SIKU NANE MKOANI MOROGORO.

Katibu Mkuu, Ndugu Abdulrahaman Kinana akiwasalimu wananchi wa Mkoa wa Morogoro, ambapo atakuwa na ziara ya kikazi mkoani hapo kwa muda wa wiki moja.
Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahaman Kinana akisalimia wananchi wa Morogoro mara baada ya kuwasili Mkoani hapo, katika makao makuu ya CCM Morogoro.
Katibu Mkuu wa CCM, Ndg, Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara katika kijiji cha Ruaha Mkoani Morogoro,jana Aprili 14, 2013.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia Mkutano mkubwa wa hadhara wa CCM, uliofanyika jana Aprili 14, 2013 katika Kijiji cha Ruaha mkoani Morogoro.

PICHA KWA HISANI YA RICHARD MWAIKENDA NA BASHIR NKOROMO.

No comments:

Post a Comment

 
Support : Katibu Mwenezi CCM (w) Arusha | Jasper Kishumbua | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali Blog - Arusha - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper Kishumbua
Proudly powered by Blogger