skip to main |
skip to sidebar
MGOMBEA UDIWANI KATA YA KIMANDOLU ARUDISHA FOMU
Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi CCM Ndg Edna J.Sauli,akiwasilisha fomu kwa Afisa Mtendaji wa Kata ya Kimandolu Ndg Kikingo. Nyuma yake ,aliyevaa kofia ya CCM ni Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Kata ya Kimandolu Ndg Stephen M. Mollel na Mbele yake aliyevaa kofia nyeupe ni Ndg Omari Hussein Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Tawi la Kijenge Kusini .
No comments:
Post a Comment