MPIGANAJI SHONZA NA MTELA MWAMPAMBA WAKITAMBULISHWA KATIKA MKUTANO WA UGOMBEA UDIWANI KATA YA ELERAI KATIKA VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI YA ELERAI
KUTOKA KUSHOTO NI JULIANA SHONZA, MTELA MWAMPAMBA NA NAIBU KATIBU MKUU BARA CCM NDG MWIGULU NCHEMBA AKIWA KATIKA MKUTANO KATIKA KATA YA ELERAI
NAIBU KATIBU MKUU WA CCM BARA NDG MWIGULU NCHEMBA AKIMWAGA SERA ZA UTEKELEZAJI MZURI WA CCM KATIKA VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI YA ELERAI
KUSHOTO NI KIJANA MUSA ALIYEMWAGIA TINDIKALI NA VIJANA WA CHADEMA KATIKA UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE WILAYANI IGUNGA AKIWA NA NAIBU KATIBU MKUU WA CCM BARA NDG MWIGULU NCHEMBAVIWANJA VYA SHULE YA MSINGI YA ELERAI
WANACHAMA NA WAPENZI WA CHAMA CHA MAPINDUZI WAKIFURAHIA NYIMBO ZA CCM ZILIZOKUWA ZINATUMBUIZA KATIA MKUTANO WA UGOMBEA UDIWANI KATA YA ELERAI KATIKA VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI YA ELERAI
MGOMBEA UDIWANI WA CCM MWALIMU LAIZER EMMANUEL AKIHUTUBIA MAMIA YA WANANCHI WALIOHUDHURIA KATIA MKUTANO KATIKA VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI YA ELERAI
MGOMBEA UDIWANI WA CCM MWALIMU LAIZER EMMANUEL AKIHUTUBIA MAMIA YA WANANCHI WALIOHUDHURIA KATIA MKUTANO KATIKA VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI YA ELERAI
BAADHI YA WANANCHI NA WAFUASI WA CCM WAKIFUATILIA MKUTANO HUO KATIKA VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI YA ELERAI
MAMIA YA WANANCHI NA WAFUASI WA CCM WAKIFUATILIA MKUTANO HUO KATIKA VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI YA ELERAI
MWENYE T SHIRT YA MISTARI NI MFUASI WA CHADEMA ALIYEAMUA KUTIMKIA CCM NDG MBOYA,AKIFUTIWA NA KATIBU WA CCM MKOA (MB) MAMA M . CHATANDA NYUMA YAO ALIYEVAA KOFIA NI ALIYEKUWA DIWANI WA VITI MAALUMU CHADEMA AMBAYE KWA SASA NI KATIBU WA WAZAZI CCM NDG REHEMA
WALIOKAA KUTOKA KUSHOTO NI KATIBU WA UVCCM (CCM) MKOA ,KATIBU WA UWT (CCM) MKOA,KATIBU WA CCM KATA YA UNGA LTD AKIFUATIWA MWENYEKITI WA CCM KATA YA UNGA LTD KATIKA VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI YA ELERAI
KATIBU WA UVCCM (CCM) MKOA, NDG KIDIMA AKIFUATILIA JAMBO KWA MAKINI KATIKA VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI YA ELERAI
NAIBU KATIBU MKUU WA CCM BARA AKIWAASA VIJANA NA WANANCHI KUMCHAGUA DIWANI ATAKAYEWALETEA MAENDELEO KWA KUWA ILANI INAYOTEKELEZWA NI YA CCM NA SIYO YA CHAMA KINGINE
No comments:
Post a Comment