MGOMBEA UDIWANI WA CCM NDG EDNA
SAULI AKIKONGA NYOYO ZA WANANCHI KWA KUAINISHA ATAKAVYOWAJIBIKA
KUSAIDIANA NA WANANCHI KATIKA KUTATUA BAADHI YA KERO ZA KATA HIYO - BONDENI BAR ,KIJENGE
HATA WATOTO NAO WALIJUMUIKA KWENYE MKUTANO HUO WA CCM KWA FURAHA KUSIKILIZA SERA NZURI ZA CCM - KIJENGE BONDENI BAR
MWENYEKITI WA CCM KATA YA KIMANDOLU NDG ABRAHAMU AKIMSIHI MCHUNGAJI KURUDI NYUMBANI KLWAKE BAADA YA KUHAMIA NYUMBA YA KULALA WAGENI
ALIYESHIKA MAIKI NI MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA ARUSHA NA ANAYEONDOKA NI MWENYEKITI WA CCM KATA YA KIMANDOLU
MGOMBEA UDIWANI WA CCM NDG EDNA SAULI AKIKONGA NYOYO ZA WANANCHI KWA KUAINISHA ATAKAVYOWAJIBIKA KUSAIDIANA NA WANANCHI KATIKA KUTATUA BAADHI YA KERO ZA KATA HIYO - BONDENI BAR ,KIJENGE
HATA WATOTO NAO WALIJUMUIKA KWENYE MKUTANO HUO WA CCM KWA FURAHA KUSIKILIZA SERA NZURI ZA CCM - KIJENGE BONDENI BAR
KATIBU MSAIDIZI WA CCM WILAYA YA ARUSHA AKITOA ONYO KWA MGOMBEA WA CHADEMA (MCHUNGAJI) KUACHA VITENDO VYA KUTEKA BAADHI YA MAKADA WA CCM
BAADHI YA UMATI WA WANANCHI WALIOKUSANYIKA, KWENYE MKUTANO HUO - KIJENGE BONDENI BAR
BAADHI YA UMATI WA WANANCHI WALIOKUSANYIKA, KWENYE MKUTANO HUO - KIJENGE BONDENI BAR
No comments:
Post a Comment