Wednesday, June 12, 2013

KONDOO WA CHADEMA WAINGIA ZIZI LA CCM KALOLENI ARUSHA

Mwenyekiti wa CCM Wilaya - Arusha akipokea kadi ya mwanachama wa CHADEMA aliyejeungua huko kutokana kupoteza biashara na kuumia kwa kuchomwa kisu pajani kutokana na vurugu za mara kwa mara zinazosababishwa na chama hicho katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya kwa Cheusi Kaloleni , Juni 12, 2013.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (MNEC) Wilaya ya Meru Ndg Julius Mungure akimnadi mgombea wa CCM Ndg Imanuely katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya kwa Cheusi Kaloleni , Juni 12, 2013.
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa - Arusha Ndg Robinson Meitinyiku akimnadi mgombea wa CCM Ndg Imanuely katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya kwa Cheusi Kaloleni , Juni 12, 2013.
Kijana John Urio mwanachama wa CHADEMA aliyejeungua huko kutokana kupoteza biashara na kuumia kwa kuchomwa kisu pajani kutokana na vurugu za mara kwa mara zinazosababishwa na chama hicho katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya kwa Cheusi Kaloleni , Juni 12, 2013.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Wizara ya TAMISEMI (MB) Ndg Agrey Mwanri akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya CCM Mkoa -Arusha akishuhudiwa na Katibu wa CCM Mkoa -Arusha (MB) Jembe Maria Chatanda katika Ofisi za CCM Mkoa Arusha , Juni 12, 2013.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Wizara ya TAMISEMI (MB) Ndg Agrey Mwanri akisalimiana na MNEC wa Meru Ndg Julius Mungure  (picha ya juu),picha inayofuatia akisalimiana na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa - Arusha Ndg Robinson Meitinyiku katika Ofisi ya CCM Wilaya -Arusha akishuhudiwa na Katibu wa Katibu wa Uchumi na Fedha CCM Wilaya - Arusha Ndg Victor Mollel katika Ofisi za CCM Wilaya- Arusha , Juni 12, 2013.
Bi Rahma na mwenzake wakazi wa Kaloleni Magharibi nao hawakubaki nyuma katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya kwa Cheusi Kaloleni , Juni 12, 2013.
Mstahiki Meta wa Jiji la Arusha Mh. Gaudensi Lyimo (kushoto), Mama na Muasisi wa CCM Kata ya Kaloleni Mama Neema Nassoro,Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Mita 200 - kaloleno Ndg J. Mushumbuzi akifuatiwa na Ndg Issa Msangi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya kwa Cheusi Kaloleni , Juni 12, 2013.
Mama na Muasisis wa CCM kaloleni akiwaasa na kuwasihi wananchi , wakereketwa na mashabiki na wasiokuwa wanachama wa CCM kumchagua kijana Immanuely katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya kwa Cheusi Kaloleni , Juni 12, 2013.
Kijana mtanashaji na mgombea Udiwani kwa tiketi ya CCM Kaloleni akiwaomba wananchi , wakereketwa na mashabiki na wasiokuwa wanachama wa CCM kumchagua ili aweze kushirikiana nao kuendeleza Kata hiyo katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya kwa Cheusi Kaloleni , Juni 12, 2013.
Baadhi ya wananchi , wakereketwa na mashabiki na wasiokuwa wanachama wa CCM walojitokeza kwa mamia  katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya kwa Cheusi Kaloleni , Juni 12, 2013.
Kushoto - kulia ni Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa - Arusha Ndg Robinson Meitinyiku,MNEC wa Meru Ndg Julius Mungure na Katibu wa UVCCM (CCM) Mkoa -Arusha Ndg Kidima wakiteta jambo katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya kwa Cheusi Kaloleni , Juni 12, 2013.
Mfuasi na mwanachama wa CHADEMA aliyeamua kurudi CCM katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya kwa Cheusi Kaloleni , Juni 12, 2013.
Baadhi ya wananchi , wakereketwa na mashabiki na wasiokuwa wanachama wa CCM walojitokeza kwa mamia ,mara baada ya mkutano huo wakisalimiana na JEMBE,KADA wa CCM Ndg Mwanri katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya kwa Cheusi Kaloleni , Juni 12, 2013.
Kushoto - kulia ni MNEC wa Meru Ndg Julius Mungurea kifuatiwa nyuma yake na Mjumbe wa Baraza la UVCCM Mkoa - Tanga na  Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa - Arusha Ndg Robinson Meitinyiku mara baada ya Mkutano wakifuatilia jambo Juni 12,2013.

No comments:

Post a Comment

 
Support : Katibu Mwenezi CCM (w) Arusha | Jasper Kishumbua | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali Blog - Arusha - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper Kishumbua
Proudly powered by Blogger