Viongozi wa CCM Wilaya ya Arusha wakibadilishana mawazo nnje ya Ofisi zao wakiwa na mgeni wao (kulia) Katibu wa UVCCM (CCM) mkoa - Arusha Ndg Kidima - Juni 13,2013
Mwenyekiti wa UVCCM (CCM) Mkoa Ndg Robinson Meitinyiku- Arusha akiwasihi wananchi kuchagua CCM , katika viwanja vya Ofisi ya Mtendaji Kata ya Kaloleni - Juni 13,2013
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa - Meru, Ndg Julius Mungure akinadi Ilani ya CCM
katika viwanja vya Ofisi ya Mtendaji Kata ya Kaloleni - Juni 13,2013
Kushoto-Kulia Mwenyekiti wa UVCCM (CCM) Mkoa Ndg Robinson Meitinyiku,Mwenyekiti wa Kata ya Kaloleni CCM Ndg H Ngalawa, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu ,Tawala ya TAMISEMI Ndg Agrey Mwanri na Mwenyekiti wa CCM Mkoa - Arusha Ndg Onesmo Nangole wakiwa kwenye Mkutano wa adhara wa kinyanganyiro cha Kiti cha Udiwani katika viwanja vya Ofisi ya Mtendaji Kata ya Kaloleni - Juni 13,2013
Kama ilivyo kawaida ya Mikutano ya CCM tangu ianze, mamia ya Wananchi,Mashabiki,Wakereketwa ,Wanachama wa CCM na wasiokuwa Wanachama wakifuatilia kwa sera za Utekelezaji wa Ilani ya CCM katika viwanja vya Ofisi ya Mtendaji Kata ya Kaloleni - Juni 13,2013
Mjumbe wa Halmashauri Mkutano Mkuu wa Taifa Ndg Pallangyo (aliyeva miwani) (katikati) Mh Sekeyani ,Diwani wa Kata ya Terati katika viwanja vya Ofisi ya Mtendaji Kata ya Kaloleni - Juni 13,2013
Kama ilivyo kawaida ya Mikutano ya CCM tangu ianze, mamia ya Wananchi,Mashabiki,Wakereketwa ,Wanachama wa CCM na wasiokuwa Wanachama wakifuatilia kwa sera za Utekelezaji wa Ilani ya CCM katika viwanja vya Ofisi ya Mtendaji Kata ya Kaloleni - Juni 13,2013
Kada na Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu ,Tawala ya TAMISEMI Ndg Agrey Mwanri akimnadi Mgoombea kiti cha Udiwani (CCM)Kaloleni katika viwanja vya Ofisi ya Mtendaji Kata ya Kaloleni - Juni 13,2013
Kama ilivyo kawaida ya Mikutano ya CCM tangu ianze, mamia ya Wananchi, Mashabiki, Wakereketwa , Wanachama wa CCM na wasiokuwa Wanachama wakifuatilia kwa sera za Utekelezaji wa Ilani ya CCM katika viwanja vya Ofisi ya Mtendaji Kata ya Kaloleni - Juni 13,2013
No comments:
Post a Comment