Monday, June 17, 2013
MAKAMU WA RAISI AWATEMBELEA WAATHIRIKA WA MABOMU YA CHADEMA
MAKAMU WA RAIS Dr. OMARI BILALI AKISALIMIANA NA KATIBU WA CCM MKOA -ARUSHA MAMA MARIA CHATANDA (aliyevaa tai) NI MJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA (MNEC) - ARUSHA NDG GODFREY MWALUSAMBA MARA BAADA YA KUWASILI HOSPITALI YA MOUNT MERU MKOANI ARUSHA KWAFARIJI WAATHIRIKA WA MABOMU YA MKUTANO WA CHADEMA Juni 18,2013
MAKAMU WA RAIS Dr. OMARI BILALI AKIWAPA POLE MAJERUHI WALIOLAZWA KWENYE
HOSPITALI YA MOUNT MERU MKOANI ARUSHA KWAFARIJI WAATHIRIKA WA MABOMU YA
MKUTANO WA CHADEMA Juni 18,2013
KAMANDA WA POLISI MKOANI ARUSHA NDG SABASI AKIWASILI KWENYE
HOSPITALI YA MOUNT MERU MKOANI ARUSHA KWENYE ZIARA YA MAKAMU WA RAISI Dr OMARI BILAL KWAFARIJI WAATHIRIKA WA MABOMU YA
MKUTANO WA CHADEMA Juni 18,2013
MAKAMU WA RAIS Dr. OMARI BILALI AKIWAPA POLE NDUGU NA JAMAA WA WAATHIRIKA WALIOLAZWA KWENYE HOSPITALI YA MOUNT MERU MKOANI ARUSHA KWAFARIJI WAATHIRIKA WA MABOMU YA MKUTANO WA CHADEMA Juni 18,2013
MGANGA MKUU WA HOSPITALI YA SELIANI ARUSHA AKIMPA MAELEZO MAKAMU WA RAISI Dk OMARI BILALI KATIKA ZIARA ALIYOIFANYA MKOANI ARUSHA KUHUSIANA NA TUKIO LA AINA YAKE MARA BAADA YA KUWAONA WAATHIRIKA WA MABOMU YA MKUTANO WA CHADEMA Juni 18,2013
MAKAMU WA RAIS Dr. OMARI BILALI AKIWAFARIJI WAATHIRIKA WALIOLAZWA KWENYE
HOSPITALI YA MOUNT YA KWA FATHER BABU MKOANI ARUSHA KUHUSIANA NA TUKIO LA AINA YAKE MARA BAADA YA KUWAONA WAATHIRIKA WA MABOMU YA
MKUTANO WA CHADEMA Juni 18,2013
MAKAMU WA RAIS Dr. OMARI BILALI AKIWAFARIJI NDUGU NA JAMAA WALIOFIKA KUWAONA WAATHIRIKA WALIOLAZWA KWENYE
HOSPITALI YA KWA FATHER BABU MKOANI ARUSHA KUHUSIANA NA TUKIO LA AINA YAKE MARA BAADA YA KUWAONA WAATHIRIKA WA MABOMU YA
MKUTANO WA CHADEMA Juni 18,2013
MAKAMU WA RAIS Dr. OMARI BILALI KATIKA PICHA NA WAGANGA WA HOSIPITALI YA KWA FATHER BABU MKOANI ARUSHA KATIKA ZIARA ALIYOIFANYA MKOANI HAPO KUHUSIANA NA TUKIO LA AINA YAKE MARA BAADA YA KUWAONA WAATHIRIKA WA MABOMU YA
MKUTANO WA CHADEMA Juni 18,2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment