TANZANIA NATIONAL PARKS AS SEEN
ON SATURDAY June 30,2013Naibu Waziri wa MaliasiLl na Utalii Mhe. Lazaro Nyarandu wakiteta jambo na Spika wa Bunge la Oman Mhe. Sheihk Khalid Bin Hilal Bin Nasir Al Maalawi kabla ya kuanza kutembelea Hifadhi ya Ngorongoro
Mhe. Nyalandu akimuongoza Spika wa Bunge la Oman Mhe. Sheihk Khalid Bin Hilal Bin Nasir Al Maalawi kuingia lango kuu la Hifadhi ya Ngorongoro
Naibu Waziri wa MaliasiLi na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akiongea na waandishi kuhusu ugeni wa Bunge la Oman uliongozwa na Spika wa Bunge lao Mhe. Sheihk Khalid Bin Hilal Bin Nasir Al Maalawi (kushoto) kutembelea Hifadhi ya Ngorongoro
Spika wa Bunge la Oman Mhe. Sheihk Khalid Bin Hilal Bin Nasir Al Maalawi akisaini kitabu cha wageni katika Hifadhi ya Ngorongo. kulia ni Naibu Spika Mhe. Job Ndugai.
Mhe. Nyalandu akimpatia mgeni zawadi.
Msafara wa Magari yaliobeba ugeni huo kutoka Bunge la Oman ukiwa Ngorongoro.
Mhe. Spika wa Oman akiangalia wanyama Mbugani.
PUNDAMILIA - ZEBRA
NYATI - BUFFALO
KIBOKO - HIPOPOTAMUS
MBUNI - OSTRICH
SIMBA - KING OF JUNGLE THE LION
SIMBA
TEMBO - ELEPHANT
No comments:
Post a Comment