Saturday, June 1, 2013

UZINDUZI KAMPENI KALOLENI CCM WAANZA KWA KISHINDO

(Mb),Katibu wa Mkoa CCM Ndg Mary Chatanda akimnadi mgombea wa Udiwani wa CCM leo,Kaloleni Arusha.

(Mb),Katibu wa Mkoa CCM Ndg Mary Chatanda, akimwaga sera za CCM katika ufunguzi wa Kampeni wa Udiwani Kata ya Kaloleni

Mwenyekiti wa CCM Mkoa Ndg Onesmo Nangole akimkaribisha Mgeni rasmi ,Mjumbe wa  Kamati Kuu ya CCM Taifa Ndg Alhaj Abdalah Bulembo leo.


Kushoto - kulia Mjumbe wa Kamati ya Siasa Wilaya Ndg Musa Mkanga akifuatiwa na Mjumbe Kamati ya Siasa ya Mkoa Ndg Pallangyo ,Nyuma yao ni Katibu wa UWT (CCM) Mkoa

Wananchi na wanachama wa Kata ya Kaloleni waliofika kwenye  uzinduzi huo.
Mgeni rasmi ,Mjumbe wa  kamati Kuu ya CCM Taifa Ndg Alhaj Abdalah Bulembo akimnadi mgombea Udiwani wa CCM Kata ya Kaloleni Ndg Imanueli leo.

Mmoja kati wanachama waliorudisha kadi za Chadema akifurahi baada ya kubatizwa na kupewa kadi ya CCM leo

Wananchi na wanachama wa Kata ya Kaloleni waliofika kwenye  uzinduzi huo.


No comments:

Post a Comment

 
Support : Katibu Mwenezi CCM (w) Arusha | Jasper Kishumbua | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali Blog - Arusha - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper Kishumbua
Proudly powered by Blogger