Friday, July 5, 2013

HAPA NA PALE KATIKA YA JIJI LA ARUSHA

"Mganga na Upwa Hali Wali Mkavu"

Mwenyekiti wa UVCCM Longido atua Ofisi za UVCCM Mkoani Arusha.
image image image
Wahenga walisema "Mganga na Upwa , hali wali Mkavu" hapa ndivyo inavyoonekana kwa kijana huyu ambaye ameamua kutafuta wateja mahali walipo, na kujipatia riziki yake , katika maeneo ya Ofisi za UVCCM mkoani Arusha , katika Kata ya Kaloleni.
image
Jiji la Arusha litaendelea kuwafumbia macho Wafanyabiashara wanaokiuka maadili na kuamua kupanga bidhaa zao kwenye maeneo ya WAPITA KWA MIGUU mpaka lini ?
image

Mwenyekiti wa UVCCM (CCM) Wilaya ya Longido Ndg Papaa Nakuta (kushoto) alipomtembelea Katibu wa UVCCM (CCM) Mkoa Ndg S.Kidima (kulia)katika Makao Makuu za Ofisi UVCCM Mkoani Arusha.
image image

Katibu wa Uchumi na Fedha wa CCM Mkoa wa Arusha Ndg Hilal Sood (katikati aliyevaa koti la bluu)akiteta jambo na rafiki zake mbele ya Makao Makuu ya CCM Mkoa wa Arusha Kutoka kushoto ni Ndg Ismail Aloo na bintiye (aliyeko huko ughaibuni kimasomo) (kulia) Ndg Maganga ,kada wa CCM na mfanya biashara maarufu Jijini Arusha

No comments:

Post a Comment

 
Support : Katibu Mwenezi CCM (w) Arusha | Jasper Kishumbua | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali Blog - Arusha - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper Kishumbua
Proudly powered by Blogger