Thursday, July 25, 2013

Jerry Silaa Mgeni Rasmi katika Mkutano wa Wasambazaji wa Mafuta na Gesi

Mkutano wa Wasambazaji wa Mafuta na Gesi hapa nchini umeanza July 25, 2013 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Hyatt Regency,Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Bodi ya Washauri wa Madini kutoka Wizara ya Nishati na Madini,Richard Kasesela akizungumza wakati akiwasilisha mada yake ya namna ya kupata leseni ya uwekezaji kwenye jamii hapa nchini.wakati wa Mkutano wa Wasambazaji wa Mafuta na Gesi hapa nchini unaofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Hyatt Regency,Dar es Salaam.Katika Mada yake hiyo,Pia Kasesela amesisitiza umuhimu wa Wawekezaji kuwa karibu na Jamii inayowazunguka ikiwa ni pamoja na kujenga makazi ya kudumu katika maeneo ya migodi yao.
Picha na Othman Michuzi at Thursday, July 25, 2013 .

Mgeni Rasmi katika Mkutano wa Wasambazaji wa Mafuta na Gesi hapa nchini,Jerry Silaa akizungumza machache wakati wa kufungua rasmi mkutano huo leo,kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.
Picha na Othman Michuzi at Thursday, July 25, 2013 .

Mwenyekiti wa Bodi ya Washauri wa Madini kutoka Wizara ya Nishati na Madini,Richard Kasesela akiendelea kuwasilisha mada yake ya namna ya kupata leseni ya kuweza uwekezaji kwenye jamii hapa nchini.wakati wa Mkutano wa Wasambazaji wa Mafuta na Gesi hapa nchini unaofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Hyatt Regency,Dar es Salaam.
Picha na Othman Michuzi at Thursday, July 25, 2013 .

MC ya Mkutano wa Wasambazaji wa Mafuta na Gesi hapa nchini,Taji Liundi akizungumza jambo wakati wa mkutano huo.
Picha na Othman Michuzi at Thursday, July 25, 2013 .

Mkurugenzi wa Mtendani wa Kampuni ya Moil,Alkarim Hirani akiuliza swali juu ya swala la uwekezaji wakati wa Mkutano wa Wasambazaji wa Mafuta na Gesi hapa nchini unaoendelea leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Hyatt Regency,Dar es Salaam.
Picha na Othman Michuzi at Thursday, July 25, 2013 .

Mkurugenzi Mtendani wa Kampuni ya Proactive Solutions,Nesrory Phoye akiuliza swali.
Picha na Othman Michuzi at Thursday, July 25, 2013 .

Picha na Othman Michuzi at Thursday, July 25, 2013 .

Maswali yakiendelea kwa mada mbali mbali zilizokuwa zikiwasilishwa kwenye mkutano huo.
Picha na Othman Michuzi at Thursday, July 25, 2013 .

Mhadhiri na Kiongozi wa Wanafunzi wa Kituo cha Mafunzo ya Takwimu Afrika Mashariki,Dkt. Camillus Kassala akiwasilisha mada yake iliyokuwa inahusu uwezekano wa Serikali za Mitaa zinavyoweza kushiriki kwenye Miradi Mikubwa wakati wa Mkutano wa Wasambazaji wa Mafuta na Gesi hapa nchini unaoendelea leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Hyatt Regency,Dar es Salaam.

Picha na Othman Michuzi at Thursday, July 25, 2013

Picha na Othman Michuzi at Thursday, July 25, 2013

Picha na Othman Michuzi at Thursday, July 25, 2013

Wadau mbali mbali wakifatilia kwa makini mada zilizokuwa zikiwasilishwa kwenye Mkutano wa Wasambazaji wa Mafuta na Gesi hapa nchini kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Hyatt Regency,Dar es Salaam.
Picha na Othman Michuzi at Thursday, July 25, 2013

No comments:

Post a Comment

Support : Katibu Mwenezi CCM (w) Arusha | Jasper Kishumbua | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali Blog - Arusha - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper Kishumbua
Proudly powered by Blogger