Thursday, July 25, 2013

Mkoani Kagera Waadhimisha Kumbukumbu ya Mashujaa katika Kambi ya Jeshi ya Kaboya, Bukoba, Julai 25, 2013.

RAIS KIKWETE AONGOZA MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA SIKU YA MASHUJAA KAMBI YA KABOYA, BUKOBA, MKOANI KAGERA.



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka ngao katika mnara wakati wa maadhimisho ya kumbukumbu ya Mashujaa katika kambi ya jeshi ya Kaboya, Bukoba, mkoani Kagera Julai 25, 2013.
PICHA NA IKULU


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka mkuki katika mnara wakati wa maadhimisho ya kumbukumbu ya Mashujaa katika kambi ya jeshi ya Kaboya, Bukoba, mkoani Kagera Julai 25, 2013
PICHA NA IKULU



PICHA NA IKULU



PICHA NA IKULU


Viongozi wa dini wakisoma dua kwenye maadhimisho hayo. Pembeni ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Mohamed Ali Shein, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali, Jaji Mkuu Mheshimiwa Chande Othman na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Othman Makungu
PICHA NA IKULU


Rais Jakaya Kikwete akitembelea makaburi ya mashujaa waliopoteza maisha wakati wa vita na Nduli Iddi Amini wa Uganda.Katika maadhimisho haya alikuwepo pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Mohamed Ali Shein, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali, Jaji Mkuu Mheshimiwa Chande Othman na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Othman Makungu.
PICHA NA IKULU


Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Wazee waliopigana vita miaka ya zamani wakati wa maadhimisho ya kumbukumbu ya Mashujaa katika kambi ya jeshi ya Kaboya, Bukoba, mkoani Kagera Julai 25, 2013.
PICHA NA IKULU


Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Waziri wa Ulinzi,Mh. Shamsi Vuai Nahodha wakati walipokutana na kwenye maadhimisho ya kumbukumbu ya Mashujaa katika kambi ya jeshi ya Kaboya, Bukoba, mkoani Kagera Julai 25, 2013.Kulia ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali na wa pili kushoto ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi,Jenerali Davis Mwamunyange.
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

 
Support : Katibu Mwenezi CCM (w) Arusha | Jasper Kishumbua | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali Blog - Arusha - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper Kishumbua
Proudly powered by Blogger