Sunday, July 7, 2013

RAMADHAN - ARUSHA

Watoto wa Madrasa wa Msikiti wa MASJID RAHMANI Kata ya Lemara Jijini Arusha leo Julai 07,2013 Wameukaribisha mwezi RAMADHAN kwa kuwaalika Wazazi na wageni mbalimbali kuja kuona na kushuhudia Wanachofundishwa madrasa.

Baadhi ya Watoto kutoka Kata ya Lemara wakipoz kwa ajili ya kupata picha leo katika maeneo ya Msikiti wa Masjid Rahman leo julai 03,2013
Picha na Katibu Mwenezi na Siasa (w) Arusha.
Kutoka kushoto ni Sheikh wa Mtaa Ally Selemani,Ndg Victor G.Mkolwe akifuatiwa na Shehe Amiri Abedi kutoka Tanga wakiwasili katika maeneo ya Msikiti wa Masjid Rahman leo julai 03,2013
Picha na Katibu Mwenezi na Siasa (w) Arusha.
Baadhi ya Watoto kutoka Kata ya Lemara wakipoz kwa ajili ya kupata picha leo katika maeneo ya Msikiti wa Masjid Rahman leo julai 03,2013
Picha na Katibu Mwenezi na Siasa (w) Arusha.
Baadhi ya Watoto kutoka Kata ya Lemara wakipoz kwa ajili ya kupata picha leo katika maeneo ya Msikiti wa Masjid Rahman leo julai 03,2013
Picha na Katibu Mwenezi na Siasa (w) Arusha.
Baadhi ya Watoto kutoka Kata ya Lemara wakipoz kwa ajili ya kupata picha leo katika maeneo ya Msikiti wa Masjid Rahman leo julai 03,2013
Picha na Katibu Mwenezi na Siasa (w) Arusha.
Baadhi ya Vijana wa Madrsa wkielekea kwenye eneo la sherehe hizo leo Julai 03,2013
Picha na Katibu Mwenezi na Siasa (w) Arusha.
Baadhi ya Watoto kutoka Kata ya Lemara wakiwa ndani ya Msikiti wa Masjid Rahman leo Julai 03,2013

Kama inavyoonekana Watoto kwa Wazee wakiingia katika eeo la sherehe hizo katika Msikiti wa Masjid Rahman leo Julai 03,2013
Picha na Katibu Mwenezi na Siasa (w) Arusha.
Baadhi ya Wazazi na Watoto kutoka Kata ya Lemara wakiwa ndani ya Msikiti wa Masjid Rahman leo Julai 03,2013
Picha na Katibu Mwenezi na Siasa (w) Arusha.
Baadhi ya Watoto kutoka Kata ya Lemara wakiwa ndani ya Msikiti wa Masjid Rahman leo Julai 03,2013
Picha na Katibu Mwenezi na Siasa (w) Arusha.
Baadhi ya Watoto kutoka Kata ya Lemara wakiwa ndani ya Msikiti wa Masjid Rahman leo Julai 03,2013
Picha na Katibu Mwenezi na Siasa (w) Arusha.
Baadhi ya Watoto kutoka Kata ya Lemara wakiwa ndani ya Msikiti wa Masjid Rahman leo Julai 03,2013
Picha na Katibu Mwenezi na Siasa (w) Arusha.
Baadhi ya Watoto kutoka Kata ya Lemara wakiwa ndani ya Msikiti wa Masjid Rahman leo Julai 03,2013
Picha na Katibu Mwenezi na Siasa (w) Arusha.
Baadhi ya Watoto kutoka Kata ya Lemara wakiwandani ya Msikiti wa Masjid Rahman leo Julai 03,2013

Baadhi ya Vijana wa Madrasa wakielekea kwenye eneo waliloandaliwa kwa ajili ya sherehe hizoleo Julai 03,2013
Picha na Katibu Mwenezi na Siasa (w) Arusha.
Baadhi ya Watoto kutoka Kata ya Lemara wakiwandani ya Msikiti wa Masjid Rahman leo Julai 03,2013
Picha na Katibu Mwenezi na Siasa (w) Arusha.
Jengo la Msikiti wa Masjid Rahman kwa nje
Picha na Katibu Mwenezi na Siasa (w) Arusha.
Kibao kinachoelekeza ,kuliko Msikiti.
Picha na Katibu Mwenezi na Siasa (w) Arusha.
Kutoka kushoto ni Mzee wa Msikiti Shehe Abubakari Daudi akimkaribisha Sheikh wa Mtaa Ally Selemani akiongozana na Ndg Victor G.Mkolwe mara tu walipowasili Msikiti wa Masjid Rahman leo Julai 03,2013
Picha na Katibu Mwenezi na Siasa (w) Arusha.
Kutoka kushoto ni Sheikh wa Mtaa Ally Selemani,Ndg Victor G.Mkolwe akifuatiwa na Shehe Amiri Abedi kutoka Tanga wakiteta jambo, mara tu walipowasili Msikiti wa Masjid Rahman leo Julai 03,2013
Picha na Katibu Mwenezi na Siasa (w) Arusha.

No comments:

Post a Comment

Support : Katibu Mwenezi CCM (w) Arusha | Jasper Kishumbua | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali Blog - Arusha - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper Kishumbua
Proudly powered by Blogger