Wednesday, July 10, 2013

KOMBE LA ROLLING STONE - ARUSHA

MNEC WA ARUSHA NA MWENYEKITI WA CCM

WILAYA YA ARUSHA USO KWA USO

WACHEZAJI COASTAL YA TANGA

JIJINI ARUSHA LEO

Kushoto ; Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Dr. W.Soileli, Mchezaji wa timu ya Coastal kutoka Tanga (katikati mwenye t-shirt nyekundu) na MNEC wa CCM Wilaya Ya Arusha Ndg G. Mwalusamba wakipata futari katika Mgahawa maarufu ujulikanao kama Mapinduzi Jijini Arusha leo Julai 10,2013
Photo by Katibu wa Siasa na Uenezi CCM (W)Arusha

Wachezaji wa Timu ya Coastal kutoka Tanga wanaoshiriki kombe la Rolling Stone Jijini Arusha wakipata futari katika Mgahawa maarufu ujulikanao kama Mapinduzi Jijini Arusha leo Julai 10,2013
Photo by Katibu wa Siasa na Uenezi CCM (W)Arusha

Wachezaji wa Timu ya Coastal kutoka Tanga (kushoto) Amadi Juma mchezaji nambari (2) akiwa na Yusufu Chuma mchezaji nambari (4) wanaoshiriki kombe la Rolling Stone Jijini Arusha wakipata futari katika Mgahawa maarufu ujulikanao kama Mapinduzi Jijini Arusha leo Julai 10,2013
Photo by Katibu wa Siasa na Uenezi CCM (W)Arusha

No comments:

Post a Comment

 
Support : Katibu Mwenezi CCM (w) Arusha | Jasper Kishumbua | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali Blog - Arusha - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper Kishumbua
Proudly powered by Blogger