Monday, July 1, 2013

MAMA MICHELLE OBAMA ALIPOTEMBELEA WAMA FOUNDATION HIVI LEO Julai 1,2013

Marine One, with US President Barack Obama and First Lady Michelle Obama on board

Rais Barack Obama na Mke wake Michelle Obama wako katika ziara ya siku mbili ya kikazi nchini Tanzania wakiongozana na watoto wao jioni hii Julai 1,2013 image
Mke wa Rais wa Markani mama Michelle Barack Obama akiwasili katika ofisi za Wanawake na Maendeleo WAMA jioni hii wakati alipotembelea katika ofisi hiyo na kuwa na mazungumzo na mwenyeji wake Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete katika makao makuu ya taaisis hiyo leo Julai 1,2013
image
Mama Mchelle Obama akielekea katika lango kuu la ofisi za WAMA jioni hii.
image
Mama Michelle Obama akilakiwa na mwenyeji wake mama Salma Kikwete wakati alipowasili katika ofisi hizo kwa mazungumzo mafupi.
image
Mama Michelle Obama akipozi kwa picha na mwenyeji wake mama Salma Kikwete
image
Wake wa viongozi wakipunga bendera kama ishara ya kumpokea Mama Michelle Obama
image
image
Mama Anna Mkapa ambaye pia ni mwenyekiti wa taasisi ya EPTF akiongozana na mama Aisha Bilal wakati wa mapokezi ya Mke wa Rais Barack Obama Mama Michelle Obama katika ofisi za WAMA jioni hii
image
Walinzi wa Marekani wakiwa kazini
image
Mama Salma Kikwete akiwapungia mkono wake wa Viongozi wakati alipowasili katika ofisi za WAMA tayari kwa kumpokea mgeni wake Mama Michelle Obama.

No comments:

Post a Comment

 
Support : Katibu Mwenezi CCM (w) Arusha | Jasper Kishumbua | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali Blog - Arusha - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper Kishumbua
Proudly powered by Blogger