Thursday, July 25, 2013

ZIARA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. DK. JAKAYA MRISHO KIKWETE MKOANI BUKOBA LEO

Rais Kikwete azindua Jengo la Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba leo Julai 25,2013.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akizindua rasmi jengo la Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Bukoba mapema leo asubuhi.Kushoto ni Jaji Mkuu,Mhe. Mohamed Chande Othman.
Picha na Mary Gwera,Mahakama ya Tanzania-(Michuzi Blog)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akifanya ukaguzi wa Jengo hilo mara baada ya kulizindua rasmi leo asubuhi.
Picha na Mary Gwera,Mahakama ya Tanzania-(Michuzi Blog)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Jakaya Kikwete (katikati) , Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman wa pili kushoto, Jaji Mkuu wa Zanzibar,Mhe. Othman Makungu (wa Tatu ), Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Fakih Jundu (wa pili kulia), Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba, Mhe. Gad Mjemmas,kulia,Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Mathias Chikawe (wa pili kushoto)na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Ltn Mstaafu, Fabian Massawe wakiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Mahakama Bukoba Mara baada ya uzinduzi wa Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba
Picha na Mary Gwera,Mahakama ya Tanzania-(Michuzi Blog)

Muonekano wa jengo la Mahakama Kuu Bukoba lililozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Jakaya Kikwete.
Picha na Mary Gwera,Mahakama ya Tanzania-(Michuzi Blog)

No comments:

Post a Comment

 
Support : Katibu Mwenezi CCM (w) Arusha | Jasper Kishumbua | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali Blog - Arusha - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper Kishumbua
Proudly powered by Blogger