Thursday, July 25, 2013

RAIS KIKWETE AWASILI MJINI BUKOBA LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete aweka jiwe la msingi la upanuzi wa uwanja wa ndege wa Bukoba.


Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Wananchi wa Mji wa Bukoba,waliofika kumuona jioni ya leo.
PICHA NA IKULU.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi la upanuzi wa uwanja wa ndege wa Bukoba leo Julai 24, 2013.
PICHA NA IKULU.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi la upanuzi wa uwanja wa ndege wa Bukoba leo Julai 24, 2013.
PICHA NA IKULU.

Rais Jakaya Kikwete pamoja na Viongozi mbali mbali wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kuweka jiwe la msingi kwenye Uwanja wa Ndege wa Bukoba
PICHA NA IKULU.

Rais Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi wa Bukoba baada ya ufunguzi wa jengo la Kagera Coperative Union leo Julai 24, 2013 mjini Bukob
PICHA NA IKULU.

Rais Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi wa Bukoba baada ya ufunguzi wa jengo la Kagera Coperative Union leo Julai 24, 2013 mjini Bukoba.
PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

 
Support : Katibu Mwenezi CCM (w) Arusha | Jasper Kishumbua | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali Blog - Arusha - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper Kishumbua
Proudly powered by Blogger