Juliana Shonza akijitambulisha kwa wana CCM leo tarehe
12/2/2013, katika Makao Makuu ya CCM,
mjini Dodoma
Mtela Mwampamba akijitambulisha kwa wana CCM,wakati wa
sherehe za utambulisho wa wajumbe wa
kamati kuu ya CCM.
Mwenyekiti wa CCM-Taifa,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa
kwenye picha ya pamoja na wanachama wapya
wa CCM,Juliana Shonza na Mtela Mwampamba,kushoto kwenye picha ni Makamu
Mwenyekiti CCM-Bara ,Ndugu Philip Mangula na kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu
Abdulrahaman Kinana.
No comments:
Post a Comment