Tuesday, February 12, 2013

ZOEZI LA UPIGAJI KURA LILIVYOENDESHWA PICHANI

 Wajumbe wa NEC wakiwa tayari kwa zoezi la kupiga kura
Maafisa wa chama wakiwa katika usimamizi wa shughuli nzima ya kupiga kura.
Makatibu wa NEC,Kutoka kushoto Zakia Meghji, Dk. Asha-Rose Migiro na  
 Mohamed Seif Khatib
 
 Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akipiga kura kuchagua wajumbe 
wa Kamati Kuu ya  CCM
 
 Makamu wa pili wa Rais,Zanzibar ,Balozi Seif Idd na Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Mwigulu Lameck Nchemba wakipiga kura za wajumbe wa kamati kuu ya CCM,Taifa.

No comments:

Post a Comment

 
Support : Katibu Mwenezi CCM (w) Arusha | Jasper Kishumbua | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali Blog - Arusha - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper Kishumbua
Proudly powered by Blogger