Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma juni 25, 2013 kwa
ajili ya kuongoza kikao cha kamati Kuu ya CCM na
Baraza la Mawaziri.
Rais Jakaya Kikwete akiwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda mara
baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma juni 25, 2013 kwa ajili ya
kikao cha Kamati Kuu ya CCM na Baraza la Mawaziri . Kulia ni Katibu Mkuu wa
CCM, Abdulrahman Kinana.
(Picha na Ofisi yawazi Mkuu).
NA KWA HISANI KUBWA YA MICHUZI
No comments:
Post a Comment