Dk.Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa( wa pili kulia) na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye wakiwa na furaha baada ya kuwasili Kigoma salama leo hii
Katibu wa CCM Taifa, Ndugu Abdulrahaman Kinana akisalimiana na Daniel Nswanzigwanko mara baada ya kuwasili salama mjini Kigoma leo.
Katibu Mkuu akivishwa skafu mara tu baada ya kuwasili Kigoma leo kwa usafiri wa treni ya reli ya kati tokea Dar es salaam.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki kupiga ngoma wakati wa mapokezi ya
Wajumbe wa Sekretarieti ,uliowasili leo Kigoma kwa ajili ya sherehe za miaka 36 ya CCM.
Wajumbe wa Sekretarieti ,uliowasili leo Kigoma kwa ajili ya sherehe za miaka 36 ya CCM.
Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Abdulrahaman Kinana pamoja na wajumbe wa Sekretarieti wakitoa salaam za shukrani kwa wana Kigoma kwa mapokezi mazuri,pia Katibu Mkuu aliwaeleza wananchi wa Kigoma hiyo reli ni ya kila mtanzania hivyo tunajukumu la kuilinda na kuitunza.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa dereva wa treni Kambi Ali, wakiwa kwenye picha ya pamoja baada kuwasili mjini Kigoma leo asubuhi. Wengine kwenye picha ni wajumbe wa Sekretarieti na Viongozi wa mkoa wa Kigoma.
Wananchi wa Mkoa wa Kigoma wakiwa wamekusanyika kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM
wakati akizungumza nao leo.
Katibu Mkuu wa CCM , Ndg Abdulrahaman Kinana (kulia) akipeana mkono na Dereva wa Treni ya TRL, Ndg. Kambi Ali (wa pili kulia) aliyewasafirisha kutoka Jijini Dar es Salaam mpaka Kigoma salama.
Wengine pichani ni Katibu wa NEC, Siasa na Mahusiano ya Kimataifa (CCM), Dkt. Asha Rose Migiro pamoja na Katibu wa NEC , Itikadi na Uenezi (CCM), Nape Nnauye.
Wananchi wa Mkoa wa Kigoma wakielekea kuupokea Ujumbe wa Sekretarieti ya CCM wakati ukiwasili Mjini Kigoma leo.
Katibu wa NEC, Siasa na Mahusiano ya Kimataifa (CCM), Dkt.
Asha Rose akisalimiana na Wananchi wa Mji wa kigoma waliofika kuupokea Ujumbe
wa Sekretarieti ya CCM uliowasili mjini Kigoma leo kutokea Jijini Dar es Salaam kwa
usafiri wa Treni ya Reli ya Kati
Wananchi wa Mkoa wa Kigoma leo wameupokea kwa shangwe Ujumbe Sekretarieti ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliowasili Mkoani Kigoma ukitokea jijini Dar es Salaam kwa Treni ya Reli ya Kati.
Katibu Mkuu wa CCM , Ndg Abdulrahaman Kinana akisalimiana na Wananchi wa Mji wa Kigoma waliofika kuupokea Ujumbe wa Sekretarieti ya CCM uliowasili Mjini Kigoma leo kutokea jijini
Dar es Salaam kwa usafiri wa Treni ya Reli ya Kati.
No comments:
Post a Comment