Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Watanzania wanaoishi nchini Ufaransa katika ukumbi wa Hoteli le Maurice jijini Paris usiku wa 20 January 2013 |
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe akihutubia Watanzania wanaoishi nchini Ufaransa katika ukumbi wa Hoteli le Maurice jijini Paris usiku wa 20 January 2013 |
Waziri wa Ujenzi, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Watanzania wanaoishi nchini Ufaransa katika ukumbi wa Hoteli le Maurice jijini Paris usiku wa 20 January 2013 |
Waziri wa Habari, Utamaduni , Utalii na Michezo Zanzibar Mhe. Ali Mbarouk akihutubia Watanzania wanaoishi nchini Ufaransa katika ukumbi wa Hoteli le Maurice jijini Paris usiku wa 20 January 2013 |
Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Sospeter Muhongo akihutubia Watanzania wanaoishi nchini Ufaransa katika ukumbi wa Hoteli le Maurice jijini Paris usiku wa 20 January 2013 |
Mwenyekiti wa jumuiya ya Watanzania waishio uransa Ndg Deli Makombe akisoma risala. |
Watanzania wanaoishi nchini Ufaransa wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika ukumbi wa Hoteli le Maurice jijini Paris usiku wa 20 January 2013 |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Watanzania wanaoishi Ufaransa katika ukumbi wa Hoteli le Maurice jijini Paris usiku wa 20 January 2013 |
No comments:
Post a Comment