Tuesday, February 12, 2013

JULIANA SHONZA NA MTELA MWAMPAMBA WAJIUNGA NA CCM LEO.

 Juliana Shonza akijitambulisha kwa wana CCM leo tarehe 12/2/2013, katika Makao Makuu ya CCM,
mjini Dodoma
 
Mtela Mwampamba akijitambulisha kwa wana CCM,wakati wa sherehe za utambulisho wa  wajumbe wa kamati kuu ya CCM.
 
 Mwenyekiti wa CCM-Taifa,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye picha ya pamoja na wanachama wapya  wa CCM,Juliana Shonza na Mtela Mwampamba,kushoto kwenye picha ni Makamu Mwenyekiti CCM-Bara ,Ndugu Philip Mangula na kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahaman Kinana.

No comments:

Post a Comment

 
Support : Katibu Mwenezi CCM (w) Arusha | Jasper Kishumbua | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali Blog - Arusha - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper Kishumbua
Proudly powered by Blogger