
Wajumbe wa NEC wakiwa tayari kwa zoezi la kupiga kura

Maafisa wa chama wakiwa katika usimamizi wa shughuli nzima
ya kupiga kura.

Makatibu wa NEC,Kutoka kushoto Zakia Meghji, Dk. Asha-Rose
Migiro na
Mohamed Seif Khatib

Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akipiga kura
kuchagua wajumbe
wa Kamati Kuu ya CCM

Makamu wa pili wa Rais,Zanzibar ,Balozi Seif Idd na Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Mwigulu Lameck Nchemba wakipiga kura za wajumbe wa
kamati kuu ya CCM,Taifa.
No comments:
Post a Comment