Thursday, February 14, 2013
Mke wa Rais Mama
Salma Kikwete akimfariji leo jioni Waziri wa TAMISEMI Hawa Ghasia kufuatia
msiba wa baba yake mzazi Abdulrahman Ghasia uliotokea jana Kijiji cha Naumbu
mkoani Mtwara.
Baadhi ya waombolezaji waliofuatana na Mama Salma Kikwete
wakimfariji Hawa Ghasia kwenye
msiba huo
Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa Baba Mzazi wa Waziri Hawa
Ghasia, Marehemu Abdulrahman Ghasia leo wakati Mama Kikwete akipoenda kumpa
pole waziri huyo
Chakula kikigawiwa kwa waombolezaji walkiohudhuria msiba
huo.
PICHA NA BASHIR NKOROMO
No comments:
Post a Comment